Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Treni ya umeme mnaiona hapo Kawe kwani au mchakato unaendelea!Anatupeleka lin Marekani bana?
Mtu na shemejiyeAisee inasikitisha sana mpuuzi huyu anawadanganya wananchi wasichukue hatua muhimu alafu na waziri wa afya yupo hapo-hapo bungeni anapiga makofi.
Mpiga dili anakula hela za wajinga!! Dunia ina mengi ndugu yangu!!Anahofia jumapili atakosa mapato ya sadaka, kondoo wataogopa niumonia..
Akawaambie waumini wa Kanisa lake!
Alifikili pale Lumumba Kuna posho au teuzi.Bwashee umekumbwa na nini!! Mbona kwa hizi siku za karibuni umekuwa na itikadi za kiukawa ukawa!! Ulianzia kwa Babu Tale!
Vipi, mmepunguzwa kazi ghafla hapo Lumumba kwa sababu ya hili tatizo la upumuaji na hivyo kutofurahishwa na hayo maamuzi?
💥🤝Ukimsikiliza rc wa kilimanjaro !ukiwa na akili timamu utaelewa nini ana maanisha
johnthebaptist
mama D
Salary Slip
Mshana Jr
Ova
View attachment 1699381
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Msema kweli Mpenzi wa Mungu ,mama kaongea ukweli mtupu haupaswi kupuuzwa ,anajua covid19 inavyochapa mkoa wake.Ukimsikiliza rc wa kilimanjaro !ukiwa na akili timamu utaelewa nini ana maanisha
johnthebaptist
mama D
Salary Slip
Mshana Jr
Ova
View attachment 1699381
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hii ilitakiwa iwe hotuba kwa taifa zima siyo Kilimanjaro pekee!Ukimsikiliza rc wa kilimanjaro !ukiwa na akili timamu utaelewa nini ana maanisha
johnthebaptist
mama D
Salary Slip
Mshana Jr
Ova
View attachment 1699381
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Angekua mwanamke tunge hoji kama ana flog
Ila Sijawai kuwa na mashaka kuhusu uwezo mdogo wa huyu mla kondoo
Nani wa kuzungumza sasaHii ilitakiwa iwe hotuba kwa taifa zima siyo Kilimanjaro pekee!
dudubaya anawachek tuu hapo bungeni anacheka Hii hii