Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Huyu ni mwenzetu hivyo hii kesi itakuwa nyepesi sana... Tutakachofanya ni kusubiri kelele za mitandaoni zipoe

Jr[emoji769]ori
atikanaje kama si kuwinda mijimap
wasubirie sana kwa kuwa hawajui kuwa hizo silaha zote zina wenyewe. Tunakaribia uchaguzi mkuu na fweza imekwama sijui walidhani zitap
 
acha sheria ifuate mkondo wake, tunaendelea kufatilia mwenendo wa kesi dhidi yake' alisikaka mlevi mmoja akiropoka tokea kilabuni'
 
Likiwa bungeni linavyosifia sasa. Linaongea mpaka kisukuma kumsifia Magufuli. Huyu jamaa ni katili kweli kweli!
 
Kwa kua ni ccm basi huyo ni mhalifu salama km walivo kina makonda.....
Ila angekua asiyeeleweka ni money laundering na uhujumu uchumi fasta angefilisiwa....

Usikute hawa ndio wafadhiri wa matukio ya ujambazi, utekaji na kupigaji watu risaisi mfano TUNDU LISSU
 
Back
Top Bottom