Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Ukiwa ccm hata dhambi zako ziwe nyekundu kama bendera DPP atazisafisha nazo zitakuwa nyeupe kuliko theluji.
 
Kwani ya nduguye Rostam ilikuwaje.. Ilikuwa afie Jela kesi yake haikuwa na dhamana lakini unaona kilichokuja kutokea?

Jr[emoji769]
Ilikuwa ni mtego wa kumrudisha braza nchin yakafanyika makubaliano kuiachia Chanel 10 na magic kwenye chama cha kikomunist,
Mdogo MTU akawa huru kwa kununua Uhuru wake.
 
Bahati yake siyo wa Chadema.
 
April 21, 2020
Dodoma, Tanzania

Mbunge wa Kishapu mkoa wa Shinyanga Mh. Suleiman Masoud Nchambi (CCM) akiongelea shanga za madini ya almasi



Mbunge wa Shinyanga atupa kombora kwa mbunge wa Kishapu

 
Acha ujinga wa kiasi hiki.

Huyo ni mhalifu kama wahalifu wengine.Na ninauhakika kwa wazee wa kazi walipo Shy sasa hivi,hakuna mhalifu atakayepona.

Yaani nyie wahalifu mnaosoma hapa,nendeni mkajisalimishe upesi maana nina uhakika hamtopona.Ni dakika tu zinahesabika.
sasa hii ndio sabotage..,unaeza kuta wamegombana kidogo kwenye lichama lao huko wameamua kupandikiziana silaha majumbani na kupeana kesi maccm hayaaminiki hata kidogo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe bado Kuna majimbo ya yenye wabunge wa ccm na bado hayana barabara za lami? Huku penye wabunge wa upinzani tunaambiwa tulikosea kuchagua,je na huko kwenu shida ni Nini au unaweza ukachagua na bado ukawa umekosea kuchagua?

nakuambia vumbi mwanzo mwisho barabara mbovuuu
 
Asamehewe tu huyu ni mwana CCM mwenzetu
 
Kwamba anazo 16 daah hii dunia imeficha mengi unaweza kubishana na mwenzako kwa hoja kumbe yeye anakuangalia tu anajisemea kimoyo moyo sasa haka si risasi moja tiyari wanachimba futi sita na watu wanakula ubwabwa wenye nyama mbili juu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini hawa ndugu zetu wenye asili ya damu ya mecca wanapenda sana hizi mambo za uwindaji,mbaya zaidi hawana ustaarabu kwenye uwindaji.
watu weusi wanawapigia kura hawa jamaaa na serikali inawapa vibali vya uwindaji wa uchafuzi na mateso kwa wanyama.
mtu mweusi ni mweusi tu hana jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa wa Chadema ,bavicha wangelalama sana kuwa hizo ni hujuma tu za kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm mnajulikana madili yenu tangu kitambo Hadi mkamiliki meli ya kusafirisha vipusa na mlikuwa hamguswi na hao wanaowabeba kila wakati Hadi Wakabadilishiwa jina na kuitwa policcm!
Na malipo yao ilikuwa kuwapa vyeo tu mfano kina Shana na mwenzie mwenyekiti wa ccm hapo chuga!
Huyu naye ataachiwa na majaji wateule wenye kadi za ccm kwenye waleti zao.
Na sio ajabu polisi waliohusika ama wakatemwa kwa kashfa ama kujambishwa vituo kwa kwenda kinyume na waliowaajiri!
Nchi imejaa vituko hii, Vuta subira uyaone usiyoyatarajia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…