Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Waende na kwa Mbunge wa Morogoro mjini,hapo watakuta kontena zima la bunduki.
 
CCM ilipataje mbunge aina ya Nchambis? Ina maana hawafanyi vetting?
Tulawaka alifanya nini kwenye mgodi wa Stamico? Kaazi kweli kweli
 
Ana maneno ya shombo huyu Jamaa balaa.Kumbe gaidi jangili.Ccm ndo zao.Yule wa mbalali iliishia wap?naye hivi hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasanii wa CCM kesi zao nyingi zinasikika zinapoanza tu,kusikia mwendelezo wake siyo jambo rahisi.Nyingi huwa haziendi mahakamani zinaishia kwa DPP.
 
Huwezi kuamini Tito Magoti na Theo huu ni mwezi watano wako gerezani kwa uhujumu uchumi wa Tsh 17m lakini utashangaa huyu mbunge akiachiliwa kwa dhamana na kesi uchunguzi kuendelea.. Tuna standard nyingi sana hapa nchini
 
.
IMG-20200506-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom