Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Au vijana wanaoiga kuvaa mavazi ya mashariki ya kati, unakuta kijana wa kiume kavaa gauni jeupe na kiremba..Vijana wa siku hizi wana ugonjwa wa kuiga mambo wanayoyaona kwenye cinema za watu wa nje hasa Ulaya na Marekani bila kujua maana yake! Ndio maana unaweza kumkuta kijana amevaa t-shirt iliyoandikva maneno ya kumdhalilisha bila yeye kujua!!
Punguani wahediOoh, ni vyema sana kuona nami ni mbunifu na wengine wanaiga. Hiyo inaitwa FF affect.
Ooh, ni vyema sana kuona nami ni mbunifu na wengine wanaiga. Hiyo inaitwa FF affect.
Eti...Kwamba mimi na wewe tunatokea mkoa mmoja?
Leo Kapata za uso
Ni.njombe makete ,wakinga
Ahahahah Leo umezodoka zodooo....
Leo kapatikana Kazodoka zodooooooooo, fyuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezodoka zodooo etiOoh, ni vyema sana kuona nami ni mbunifu na wengine wanaiga. Hiyo inaitwa FF affect.
Mbilinyi wengi wamelowea mbeya. Ila asili yao si mbeya kwamaana siyo wanyakyusa,wanyiha,wasafwa,wandali wala wanyamwanga,,wao ni wakinga kwa asili. Kama umewaona mbeya basi wavamizi ama walowezi
Duu! Unapowarekebisha wengine kijiwe hua kinefungwa?Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Kijiba cha roho.Umezodoka zodooo eti
Leo mmemweza kweli kweli huyu mswahili wa kariakooKama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unawaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.
Mwanamke ni mama anastahili heshima zoteHuu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Na hao watoto wanaozaliwa bila ndoa ndio wanaitwaga "Mwanaharamu" basi sawa yetu macho.
Anaomba kibali amiliki kabisa hilo Koloni maana mwanzoni alikuwa amepangisha.
jifunze kiswahili kwanzaHuu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Leo mmemweza kweli kweli huyu mswahili wa kariakoo
Tulia dada Leo unapata sindano za motoKijiba cha roho.