Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Ashakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba sugu ni super handsome!!!
Ila watu mna mambo, huko kuendana mnakupimaje labda. Nikajua kuendana kwa watu wanajua wale wanaoendana na sio watu wa pembeni.
 
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?

Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
We ni mdini sana,.
Cha ajabu dini uliyonayo umerithi tu kwa wazazi, na sio baada ya kuujua ukweli.
 
Hivi kumbe hata pete walikuwa hawajavishana[emoji134][emoji134][emoji134]
Mi nilijua ni mume na mke.
Mimi nilijua walishafunga ndoa, maana Faiza anavyo litolea povu penzi lao aisee kumbe hata ndoa bado huu uchumba sugu.
 
Ni vizuri ila kazingua kupiga magoti.

Ngoja tusubirie maneno ya yule mropokaji na mkaa uchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo apo faiza katema cheche
IMG_20190113_090438_592.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom