Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwamba sugu ni super handsome!!!Ashakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watu mna mambo, huko kuendana mnakupimaje labda. Nikajua kuendana kwa watu wanajua wale wanaoendana na sio watu wa pembeni.