Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Au vijana wanaoiga kuvaa mavazi ya mashariki ya kati, unakuta kijana wa kiume kavaa gauni jeupe na kiremba..
Mambo ni mengi muda mchache

Samahani usinipeleke unakoelekea wewe mimi naheshimu mavazi yanayoendana na imani za watu!!
 
Nimeona mtu kaeleza,huyu dada kumbe alishakua ana ndoa kabla,so alikuwa anamalizana kule ndo huku mambo yajae sawa!.
Kwahiyo sio kosa la sugu[emoji23]
Mimi nilijua walishafunga ndoa, maana Faiza anavyo litolea povu penzi lao aisee kumbe hata ndoa bado huu uchumba sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamvalisha pete huku ana mimba tayari halafu wataenda kufunga ndoa kanisani wakati tayari wamezini.Mheshimiwa mbunge hayo ndio maadili ya kiongozi?
 
Back
Top Bottom