Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au vijana wanaoiga kuvaa mavazi ya mashariki ya kati, unakuta kijana wa kiume kavaa gauni jeupe na kiremba..
Mambo ni mengi muda mchache
Hata mimi pia,Samahani usinipeleke unakoelekea wewe mimi naheshimu mavazi yanayoendana na imani za watu!!
Unakotaka kwenda nenda peke ako tu
Mimi nilijua walishafunga ndoa, maana Faiza anavyo litolea povu penzi lao aisee kumbe hata ndoa bado huu uchumba sugu.
Jamani tuacheni masihara.
Yaani watu waishi pamoja, wafanye mapenzi, wapeane mimba nk halafu leo watangaze ndio wanachumbiana, halafu tunaletewa picha humu ili kujadili. Huo ni mzaha na upuuzi mtupu.
Mmeutowa=mmeutoa
Bwanake=bwana wake
Pyeeeeeh.....Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Wengi huwa wanafanya hivi kwasababu ya kumuumiza mtu flan, labda walioachana au aliyemsalitiMi km mtu upo na hali uiyo sishauri hizi mbwembwe,tena kwa mtu ambae ni ndoa ya pili km huyu dada,wangeenda tu kanisani basi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
LIBISHI...!!!Si kweli.
Mimi husahihisha sana sana kwenye makosa ya R na L tu.
Isitoshe, kuna uandishi mbaya na kuna "styles" za kuandika. Usichanganye,
sijui shule gani huyu mama alisomaMmeutowa=mmeutoa
Bwanake=bwana wake
we kibibi kibishi c ukubal ulikosea...au utakufa ukikubaliTatizo wewe ulienda shule kujazwa ujinga.
Wewe umefundishwa kuandika yale usiyoyaongea, barua. Mimi licha ya mafunzo ya kuandika barua, pia nimefundishwa kuandika kukaribia na matamshi ninavyo yatamka.
Jua kali wamevaa makaniki meusi tiii.Wakiamini dini zilizokuja na mashua.brain washed kabisaaaPia ongezea kuwa mtumwa haachi kuvaa magunia kichwani kuiga tamaduni za wengine kujifanya mwaarab wakati hana issue yeyote.