Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

20211117054003_7.jpg
 
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangas ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

View attachment 2013563
Mimi ninapinga, wasipimwe ili msisimko uendelee.
 
Anataka wanakijiji waruhusiwe kwenda kuokota kuni na kukata majani ya ng'ombe kwenye hifadhi ya mlima Kilimanjaro.

Hajui hata asababu za theruji ya mlima kilimjaro kupunguwa, na hili joto Dar na Kilimanjaro ndio zinaongoza kwa joto hili la kitropiki.
Wewe ushaambiwa kuwa vigezo vya kuwa mbunge ni kujua
1:Kuandika

2:kusoma.
 
Siku zote nasema na narudia tena, huyo mwendakuzimu asipokwenda motoni basi ujuwe moto haupo na wala hakuna Mungu zitakuwa ni hadithi tu.

Kwa matendo ya kishetani aliyoyafanyia nchi yetu mtu huyu, kamwe hawezi kuiona pepo.

Wewe umeona wapi Chizi akahukumiwa kutokana na matendo yake mabaya??!----- huyo atasamehewa kwakuwa uchizi ni udhuru.
 
Mazuzu sasa yamekuwa machizi, kwa matendo yao hakuna mwenye akili timamu mule, nimeshangaa hata Dr Kimei pumba anazoongea huwezi kuamini kama ni PhD mpaka Akofu Dr Shoo amemkemea.
Wachagga wote wamezidiwa akili na Augustino Lyatonga Mrema!
 
Hilo neno uchizi naona kama ni kali sana wange tumia tafsida fulani hivi ingeeleweka pia

Tafsida ipi itumike badala ya neno uchizi??---- hujui mficha maradhi kilio kitamuumbua?!.
 
Back
Top Bottom