akili yako tu nani kakuambia ukichelewa kuoa maisha ndio yanakua mazuri?Wengi wanaokimbilia kuoa na kuzaa mapema ndio wanaopeleka watoto kwa bibi na babu zao aidha kwa kuwa na kipato kidogo au kwa kujiendeleza kimasomo.
Ongezea waarabu ni jamii masikini ndio mana GDP yao ni ndogo kuliko nchi tajiri za kiafrika.Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana wana mafuta lakini wanachimbiwa na wageni mpaka leo.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana wanaamini katika kujilipua lipua mpaka leo.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana wana chumi zinazotegemea zao moja kwa kiasi kikubwa.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana wana low literacy levels.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana nchi zao hazina uhuru wa kujieleza.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana wana tawala za kidini.
Waarabu ni jamii masikini.
Ndiyo maana mpaka leo nchi kama Saudi Arabia ina utajiri mkubwa wa mafuta lakini kuna watu masikini wanategemea ruzuku za serikali.
kwa mwanaume anyesimamisha na anayemjua mungu kuoa na kuwa na mtoto ni lazima, otherwise wewe ni shoga, hausimamishi na mwisho unanunua malaya.Nani aliyekuambia kuoa ni lazima?
Nani aliyekuambia kuwa na mtoto ni lazima?
Unaendeshwa na wengi wanafanya nini?
ni kweli hata kwetu pemba hatujaenda shule ukilinganisha na kule bukoba, ial ndio tunaomiliki mitaa hapa mjiniBado hujaona kitabu nilichoandika.
Jamii masikini zinaendana na uvivu wa ku type.
Kwa sababu zimewahi kuoa/kuolewa na kwa sababu hiyo hazijaenda shule.
Watu wanaofuatilia mambo ya kupima uchumi wameacha kuangalia GDP. Wanaofuatilia GDP hawafuatilii maendeleo ya sasa katika somo la uchumi.Ongezea waarabu ni jamii masikini ndio mana GDP yao ni ndogo kuliko nchi tajiri za kiafrika.
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
kwani umasikini unaindoshwa kwa kuchelewa kuoa ukiwa masikini?Kuwahi/kukimbilia kuoa kwa watu wanaotokea familia za kimasikini ni jambo la hatari kuliko hatari yenyewe.
ni kweli mkuu nimekupata ndio mana nchi zinazoongoza kwa maisha mazuri duniani kama Qatar, UAE na Sweden GDP yake ni ndogo kuliko Tanzania ambayo GDP imegawanyika kwa kina Rostam, Bakhresa na Mengi.Watu wanaofuatilia mambo ya kupima uchumi wameacha kuangalia GDP. Wanaofuatilia GDP hawafuatilii maendeleo ya sasa katika somo la uchumi.
Unaweza kuwa na GDP kubwa katika nchi masikini sana, halafu GDP ikawa imegawanywa kwa Bakhressa, Mengi, Manji na Rostam Aziz. Wengine wote hata makombi hampati. Huwezi kusema nchi nibtajiri kwa sababu watu wanne wamepandisha GDP disproportionately.
Halafu unaweza kumshinda masikini lakini bado ukawa masikini.
Umasikini mkubwa kabisa wa Waarabu ni wa kushindwa kutumia akili na kubweteka kutegemea maliasili.
Wewe hata tofauti ya mji na kijiji huijui.ni kweli hata kwetu pemba hatujaenda shule ukilinganisha na kule bukoba, ial ndio tunaomiliki mitaa hapa mjini
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Kutafuta si kupata. Wote wangesubiri wengine watafute dunia isingekuwepo hapa ilipo.Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?
Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
ni kweli ndio mana wewe unayekaa kwenye jumba kubwa unatema point tupu bila kumwaga povu, sababu umesoma na umechelewa kuoa.Wewe hata tofauti ya mji na kijiji huijui.
Hivyo vijumba kama vibanda vya kuku vinavyonuka mavi visivyo hata na smoke detectors unatambia kwa sababu hujawahi kukaa kwenye nyumba standard.
Hujui tofauti.
Kibaya zaidi, umeridhika.
Stay off my dilsnick.ni kweli ndio mana wewe unayekaa kwenye jumba kubwa unatema point tupu bila kumwaga povu, sababu umesoma na umechelewa kuoa.
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Mkuu kuoa hakuna tofaut na utajiri na umaskini na ndio maana kuna wazee wameanza kutafuta ela tangu nchi inapata uhuru alafu wajukuu zao wametafuta kidogo tu wamekamata fedha...kikubwa viungo vya uzazi vifanye kazi kisawasawa...na wengine wamewahi kuoa lakini watoto Mungu akawajalia baada ya miaka 10 kutokana na changamoto za kiafya lakini mwingine kaoa mwaka jana lakini mwaka huu tayari ndoa imejibu (tukifikiria yote haya utaona kwamba kuoa ama kuolewa ni majaaliwa)Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Hahaaaaa, imenibidi nicheke! Unawahi kuoa, unawahi kuzaa, unawahi majukumu ambayo mengi yao huyatimizi kikamilifu mfano kuwatimizoa familia yako mahitaji muhimu (basic needs) achilia mbali elimu bora n.k!Kuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Kaka mambo ya ndoa yaache maana kuna watu wana umri mkubwa na wana uwezo wa uchumi lkn hawana ndoa na wala hawafikirii lakini wana watoto kibao!ila hongera zake Profesa wa mitulinga!Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Duh, huu mfano wa wanaume wanaoitwa baba kasema.., na huenda ulioa kwa sababu baba yako alisema au kukuchagulia mke!!Mimi wazazi wangu waliniandalia maisha mazuri kwahiyo sikuchelewa kuoa. Hata marafiki zangu vivyo hivyo.
Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.
Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.
Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.
Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.
Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.
Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.
Dawa ipi ya kansa?! Kansa yenyewe mbona ni ugonjwa wa kwenye vitabu tu (ugonjwa wa kuaminishwa!?)Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?
Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
42Sina uhakika HoE ila nikipiga hesabu zangu kwa kukadiria tofauti zetu, atakuwa anaikaribia sana arobaini.
Na hao matajiri wa mali ni matajiri wa zinaa pia, wanachelewa kuoa kwa sababu wanakuwa na uchumi wa kutumia kwa zinaa kwa hiyo wao kuoa ni kutimiza wajibu tu lkn washafanya zinaa ya kutosha na kuwa na watoto kibao mitaani achilia mbali waliotupwa chooni.Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.
Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.
Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.
Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.
Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.
Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.