Ukiongelea classes, inequity iliyo Norway ni sawa na iliyo Saudi Arabia?Iyo unasemea ni classes tu. Kila jamii kuna different levels of development hata ukienda norway utawakuta maskini wanaotegemea ruzuku serikalini. Iyo nature ya kila jamii ila ukizingumzia teenage marriages ndio msingi wa umaskini sio kwel. Iyo ni dunia nzima
Kila mtu ana wakati wake katika kufanya jambo unaweza kuwahi kumaliza chuo lakini ukachelewa kupata kazi .. au ukawahi kupata kazi na ukawahi kufa pia Mungu ndiyo mpangaji wa yote.Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Fanya tena utafiti wako mkuu.Kuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Si kirahisi hivyo.Fanya tena utafiti wako mkuu.
Kuoa na kuolewa ni majaaliwa. Tuwapongeze tuKaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Ni mipango ya mtu tuKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Ukitaka kumficha jambo mtanzania,weka katika maandishi,hatakama ni waziri wa nishati na madini,atasaini mkataba bila hata kuusoma,kisa maandishi mengi,ndiyomaana wala hukuumiza kichwa wakati wakuoa.Duh! Umeandika maandishi mengi sana mkuu na mimi ni mvivu wa ku-Type.
Mimi nadhani nimemaliza. Sina sababu ya kuanza kujieleza kwa maandishi mengi.
Hata ukiamua kuendesha gari uliangushe kwenye korongo ni mipango ya mtu tu pia.Ni mipango ya mtu tu
Unautendea haki mshahara wa TWAWEZA.Si kirahisi hivyo.
Inabidi ufanye utafiti wa jinsi ya kunishawishi nifanye utafiti tena.
TWAWEZA haina uwezo wa kunilipa mshahara.Unautendea haki mshahara wa TWAWEZA.
Kiranga on airSi kirahisi hivyo.
Inabidi ufanye utafiti wa jinsi ya kunishawishi nifanye utafiti tena.
Hivi anaendeleaje huyu mwamba??