Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Ukiongelea classes, inequity iliyo Norway ni sawa na iliyo Saudi Arabia?Iyo unasemea ni classes tu. Kila jamii kuna different levels of development hata ukienda norway utawakuta maskini wanaotegemea ruzuku serikalini. Iyo nature ya kila jamii ila ukizingumzia teenage marriages ndio msingi wa umaskini sio kwel. Iyo ni dunia nzima
Watu wanaolewa na miaka 16 watapata wapi muda wa kwenda Chuo Kikuu na kujiendeleza kimasomo ili wawezekuyakabilimaisha kwa uzuri zaidi?