Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Iyo unasemea ni classes tu. Kila jamii kuna different levels of development hata ukienda norway utawakuta maskini wanaotegemea ruzuku serikalini. Iyo nature ya kila jamii ila ukizingumzia teenage marriages ndio msingi wa umaskini sio kwel. Iyo ni dunia nzima
Ukiongelea classes, inequity iliyo Norway ni sawa na iliyo Saudi Arabia?

Watu wanaolewa na miaka 16 watapata wapi muda wa kwenda Chuo Kikuu na kujiendeleza kimasomo ili wawezekuyakabilimaisha kwa uzuri zaidi?
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Kila mtu ana wakati wake katika kufanya jambo unaweza kuwahi kumaliza chuo lakini ukachelewa kupata kazi .. au ukawahi kupata kazi na ukawahi kufa pia Mungu ndiyo mpangaji wa yote.

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Kuoa na kuolewa ni majaaliwa. Tuwapongeze tu
 
Duh! Umeandika maandishi mengi sana mkuu na mimi ni mvivu wa ku-Type.

Mimi nadhani nimemaliza. Sina sababu ya kuanza kujieleza kwa maandishi mengi.
Ukitaka kumficha jambo mtanzania,weka katika maandishi,hatakama ni waziri wa nishati na madini,atasaini mkataba bila hata kuusoma,kisa maandishi mengi,ndiyomaana wala hukuumiza kichwa wakati wakuoa.
 
Urasimishaji

Sent from my HTC One X using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom