Huyu jamaa anayejiita Al-Watan n Mpumbavu kweli. Ameng'ang'ania tu jamii maskini ...je kwenu n matajiri...?
Wewe jifanye tajiri uendelee kipiga master besheni/ puru umalize sabuni vizuri
Duuh.....naona mimi na wewe ni mbingu na ardhi kuelewana..Mbona umeshajijibu mwenyewe mkuu? Kama kuoa ni maturity kama unavyodai, ukichelewa lazima jamii ikushangae kwa kuchelewa ku-Mature.
Hili swali angejibu vizuri Bw. SumuMtu kama wewe ukipewa mtihani unafeli. Jibu swali ameoa akiwa na miaka mingapi?
Hili swali angejibu vizuri Bw. Sumu
Jamii domo zege wanajiita matajiri eti hawataki kuoa...... kazi kununua miche ya sabuni every week..... ww mtu mzima ulishafika miaka 28+ inabidi uoeUkweli unauma.
Jamii masikini hukimbilia kuita watu wapumbavu bila kutoa sababu zikiambiwa ukweli.
Halafu ukiziambia ukweli zinakuja na vitu visivyo na logic kama "je kwenu ni matajiri?".
Jamii masikini hazijui kwamba huhitaji kuwa tajiri ili kuona jamii masikini ni jamii masikini na tabia zake za umasikini.
Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?
Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
Dogo alikuwa anakimbizana Na deadlineKwani kuoa kuna umri maalum
Mkuu haya mambo mimi nimeyaona toka kitambo sana. Ni familia chache sana zenye elimu na kipato utakuta mtu amewahi kuoa au kuolewa, wengi ni masikini na wa kipato cha chini sana.Nashukuru kuona kuna watu wanaliona hili.
Ndio ulivyo kaririYes mkuu, I mean kuoa sio kubariki ndoa.
Prof. Jay hapo kabariki ndoa. There is no way mtu wa umri wake awe hajaoa, labda awe na tatizo.
Unataka kumaanisha kua Jay-Z ambae amepata mtoto wake wa kwanza akiwa 44 na wa pili juzi akiwa 47 hatakuja kucheza na wajukuu zake?Kama umekwenda shule vizuri Ukiwa na miaka 25, u memaliza first degree na una ajira unaweza kuoa. Mtoto wa kwanza ukimzaa na umri wa 26, ikiwezekana 36 umeshavutamasters na mtoto ana miaka 10. Ukiwa 46, mtoto yuko university unampa support, 56 mtoto anaweza kuoa na wewe ukacheza na wajukuu zakof.
Maisha haya na formula.
Mkuu haya mambo mimi nimeyaona toka kitambo sana. Ni familia chache sana zenye elimu na kipato utakuta mtu amewahi kuoa au kuolewa, wengi ni masikini na wa kipato cha chini sana.
Mwaka flani ckassmate wangu alichaguliwa kusoma chuo kikuu baada ya kujiendeleza huko alikokua maana alienda ualim baada ya kumaliza sekondari. Sasa akafikia kwangu kwa muda, nilikua nimepanga mtaa mmoja kodi ya nyumba kwa mwezi ni sawa na mshahara wake wa miezi 2.
Yeye wakati huo ana watoto 3 na mke wake ana mimba ya mtoto wa 4. Akakaa kama miezi 4, huo mtaa ni wa watu wa kupato cha kati na kikubwa.
Siku moja akaniambia toka amekaa hapo amebahatika kuona watoto wachache sana wa shule za msingi na sekondari katika huo mtaa tofauti na mtaa mwingine ambapo alikua anaishi baba yake mdogo kuna shule za msingi 3, sekondari za serikali 4 na idadi ya watoto umri wa shule ni kubwa sana.
Akaniambia amejifunza kua watu wenye kipato na elimu hawana familia kubwa au hawana kabisa tofauti na watu masikini. Akasema amegundua kua na familia kubwa mapema kumemrudisha nyuma sana na angejua asingeoa mapema, akasema hatakuja kumshauri ndogo wake au mwanae awahi kuoa.
Nikashukuru kua huyo mtu amepata mwanga na inawezekana akawasaidia na wengine kuona mambo kw amtazamo huo.
Ni kweli kua umasikini unachangia sana watu kuwahi kuingia kwenye ndoa maana baada ya balehe hawana cha kufanya, kwa hiyo mtu kwenye late teens au early twenty ana mke na mtoto, ni wachache sana wanafika 30s bila kua na ndoa.
Madhara ya kuchelewa kuoa ni yapi?Hivi hawajuagi madhara ya kuchelewa kuoae,
Yaani ule ni mtazamo wangu tu maisha haya na formula. Wewe hata kama science na tech za unyamwezini ziko advance JZ akifika 67 ndiyo kwanza map acha wana 20. Huyo ni babu. Alafu unajua tabia za teenagers zinavyosumbua sasa mzee wa 67 anarudiwa asubuhi watoto wanetoka club. Ni pressure tupu.Unataka kumaanisha kua Jay-Z ambae amepata mtoto wake wa kwanza akiwa 44 na wa pili juzi akiwa 47 hatakuja kucheza na wajukuu zake?
Lakini pia mstari wa mwisho kwenye bandiko lako unakinzana na bandiko lako lote.
Yes, ukioa una zaidi ya miaka 40 mpaka mtoto aanze shule ya msingi na kumaliza baba utakuwa na umri gani? Kama si zaidi ya 60,si itakuwa babu na mjukuu?sio baba na mwana! Kuoa mapema muhimu, wakati unawaza kuzaa na kulea wenzako watakuwa wamemaliza na kizazi kunyauka/kusinyaa,ila kula raha wataendelea,sio kuwaza kuzaa.Kwani kuoa kuna umri maalum