Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kipindi ninavyowafahamu ni kile cha teenage wakati huo wako 15-16 ndiyo nyumbani mziki kwa sana na wewe ni retired unataka kupumzika.Yes, ukioa una zaidi ya miaka 40 mpaka mtoto aanze shule ya msingi na kumaliza baba utakuwa na umri gani? Kama si zaidi ya 60,si itakuwa babu na mjukuu?sio baba na mwana! Kuoa mapema muhimu, wakati unawaza kuzaa na kulea wenzako watakuwa wamemaliza na kizazi kunyauka/kusinyaa,ila kula raha wataendelea,sio kuwaza kuzaa.