Kipindi ninavyowafahamu ni kile cha teenage wakati huo wako 15-16 ndiyo nyumbani mziki kwa sana na wewe ni retired unataka kupumzika.Yes, ukioa una zaidi ya miaka 40 mpaka mtoto aanze shule ya msingi na kumaliza baba utakuwa na umri gani? Kama si zaidi ya 60,si itakuwa babu na mjukuu?sio baba na mwana! Kuoa mapema muhimu, wakati unawaza kuzaa na kulea wenzako watakuwa wamemaliza na kizazi kunyauka/kusinyaa,ila kula raha wataendelea,sio kuwaza kuzaa.
Dogo hakuelew yeye amekurupuka kujibu kua mtu ana kansa.Tatizo huji kusoma, kwa sababu umewahi kuoa na hujaenda shule.
Ungejua kusoma ungejua nilichoandika na ulichosoma ni vitu viwili tofauti.
Sasa huyo hata kusoma sentensi ndogo tu tabu.Dogo hakuelew yeye amekurupuka kujibu kua mtu ana kansa.
Mtu unashinda maktaba au maabara ukitafiti jambo hasa lenye matokeo chanya kwa watu wengi na kuacha jina, utapata wapi muda wa kuwaza kuoa au kuzaa mapema uko maabara mara sim inaita mtoto anaharisha sijui amekuaje na mambo ya ajabu ajabu.
Wakati wengine wanataka kuacha majina hasa yenye matokeo chanya kwa kugundua tiba ya gonjwa linalotishia uwepo wa uhai mtu mwingine anawaza mbunye na kuwahi kuzaa na kuoa.
Watu masikini tu na wasio na elimu ndio wanaona ndoa na familia ndio faraja yao pekee.
Huna akili kabisa. Ukishafikisha miaka 28+ inabidi uoe?Jamii domo zege wanajiita matajiri eti hawataki kuoa...... kazi kununua miche ya sabuni every week..... ww mtu mzima ulishafika miaka 28+ inabidi uoe
Lani mwisho wasiku watoto wako watakuita babu
Mtoto wako akimaliza degree ya kwanza wewe upo 78 age [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hufaidi matunda ya watoto
Endelea kujiita tajiri..
Acha sisi maskini tuzae viongozi
Huyo ni mjukuuUna miaka 46 mwanao ana mwaka mmoja na nusu,khaaaa zaa mapema ulee mapema upumzike,hongera zake
Kwa hiyo Mengi aliezaa ana miaka karibu 80 amekosea?Yaani ule ni mtazamo wangu tu maisha haya na formula. Wewe hata kama science na tech za unyamwezini ziko advance JZ akifika 67 ndiyo kwanza map acha wana 20. Huyo ni babu. Alafu unajua tabia za teenagers zinavyosumbua sasa mzee wa 67 anarudiwa asubuhi watoto wanetoka club. Ni pressure tupu.
Yule awekwe kwenye Guinness Book of Records.Kwa hiyo Mengi aliezaa ana miaka karibu 80 amekosea?
Ni umasikini tu na ukosefu wa shule, masikini ndio wanajifariji kua wahi kuoa uwahi kulea ili uwahi kupumzika.Una miaka 46 mwanao ana mwaka mmoja na nusu,khaaaa zaa mapema ulee mapema upumzike,hongera zake
HehehehehehKama umekwenda shule vizuri Ukiwa na miaka 25, u memaliza first degree na una ajira unaweza kuoa. Mtoto wa kwanza ukimzaa na umri wa 26, ikiwezekana 36 umeshavutamasters na mtoto ana miaka 10. Ukiwa 46, mtoto yuko university unampa support, 56 mtoto anaweza kuoa na wewe ukacheza na wajukuu zakof.
Maisha haya na formula.
Nimesoma hii comment, kweli chain of poverty haiwezi kukatika kusini mwa jangwa la Sahara, karne ya 21 kijana mdogo anawaza kukimbilia kuzaa Ili mtoto aje kumsaidia Na Kula matunda... Madhara yake mtoto badala afikirie future yake anaanza kubebeshwa mizigoJamii domo zege wanajiita matajiri eti hawataki kuoa...... kazi kununua miche ya sabuni every week..... ww mtu mzima ulishafika miaka 28+ inabidi uoe
Lani mwisho wasiku watoto wako watakuita babu
Mtoto wako akimaliza degree ya kwanza wewe upo 78 age [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hufaidi matunda ya watoto
Endelea kujiita tajiri..
Acha sisi maskini tuzae viongozi
Nae alianza muziki akiwa mdogo sana.Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Dogo hakuelew yeye amekurupuka kujibu kua mtu ana kansa.
Na ukiwahi then ukaharibu ni hiyo hiyo jamii itakayokushangaa pia. Kufanya mambo kwa kuimpress jamii unakuwa unaishi maisha yasiyo yako.Mbona umeshajijibu mwenyewe mkuu? Kama kuoa ni maturity kama unavyodai, ukichelewa lazima jamii ikushangae kwa kuchelewa ku-Mature.
Kipimo cha umasikini ni kipi? Na tajiri ni yupi hapo Jay Zee au Mengi? Wajinga wanapima utajiri kwa mali alizo nazo,hapa ndio ujinga wako ulipolala,unajua watoto wa meng wewe,,mtafute mtoto mmoja wa mengi anaitwa Bonita mwambie Xav Bero anamsalimia halaf urud hapa kunyoosha maelezo yako,,,kam umemjua meng baada ya kuanza kumbandua Jack sikushangaiNi umasikini tu na ukosefu wa shule, masikini ndio wanajifariji kua wahi kuoa uwahi kulea ili uwahi kupumzika.
Maana yake ni kua miaka ya 20 wakati una nguvu za kubeba zege uzae ili mtoto aanze shule mapema ili ukifikisha miaka 45 uwe umemaliza kumsomesha angalau hadi sekondari za bure maana nguvu zako zitakua zimeisha na hutakua tena na nguvu za kutafta pesa kwa kutumia nguvu ili yeye mwanao sasa aanze maisha ili ukifika 60 umechoka akusaidie.
Haya ni mawazo ya kimasikini kabisa. Jay-Z kazaa juzi hapa hata wiki 2 hazijaisha ana miaka 47, je amekosea? Mengi kazaa ana miaka karibu 80, je amekosea?
Mkuu upo sahihi.Dogo hakuelew yeye amekurupuka kujibu kua mtu ana kansa.
Mtu unashinda maktaba au maabara ukitafiti jambo hasa lenye matokeo chanya kwa watu wengi na kuacha jina, utapata wapi muda wa kuwaza kuoa au kuzaa mapema uko maabara mara sim inaita mtoto anaharisha sijui amekuaje na mambo ya ajabu ajabu.
Wakati wengine wanataka kuacha majina hasa yenye matokeo chanya kwa kugundua tiba ya gonjwa linalotishia uwepo wa uhai mtu mwingine anawaza mbunye na kuwahi kuzaa na kuoa.
Watu masikini tu na wasio na elimu ndio wanaona ndoa na familia ndio faraja yao pekee.
Kama umekwenda shule vizuri Ukiwa na miaka 25, u memaliza first degree na una ajira unaweza kuoa. Mtoto wa kwanza ukimzaa na umri wa 26, ikiwezekana 36 umeshavutamasters na mtoto ana miaka 10. Ukiwa 46, mtoto yuko university unampa support, 56 mtoto anaweza kuoa na wewe ukacheza na wajukuu zakof.