Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu


humu ndio nilipopitia mie!Mke mzuri,mahesabu mazuri Mungu anajalia
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aisee nyamaza, unazidi kuharibu tu!

Kivipi?

Hiyo saratani isingekuwepo hao walioamua kuacha kuoa/kuolewa ili waingie maabara kufanya tafiti za dawa ya saratani wangeoa/kuolewa. Tatizo ni hiyo saratani.

Nasisitiza tena, huwezi kufika umri wa Prof. Jay usiwe umeoa labda kuwe/uwe na tatizo.
 
Okay!
 
Yes mkuu, I mean kuoa sio kubariki ndoa.

Prof. Jay hapo kabariki ndoa. There is no way mtu wa umri wake awe hajaoa, labda awe na tatizo.

Namfahamu mtu alioa (siyo kubariki ndoa) akiwa na umri wa miaka 45. Sina hakika Prof. Jay ana umri gani.
 
hmmmm!!!!! Kuoa Ni Umasikini au Nimeelewa Vibaya!
 
kati ya ya jamii yako na jamii za Qatar, libya, pemba ipi ni masikini? na wepi wanawahi kuoa kwa mtazamo wako? ..... .............. acha kupotosha umma kiasiri jamii za kiislam zinaoa muda ukishafika, kwanza tambua hakuna kuwahi kuoa wala kuzaa, sababu muda ukishafika wa kubalehe mwanaume aliyepevuka inabidi awe na mke wake.......... usifikiri unachowaza wewe kila mtu anakifanya.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Al-Watan
Hili jambo nililijadili humu mwaka jana. Wajinga wengi wakapingana na mimi.

Kijana huna haja ya kuharakisha kuoa eti uwahi kupata watoto usije kuitwa babu
inawezekana we ndio mjinga...........mwanaume unayesimamisha unayefanya shughuli zako halali za kukuingizia kipato unaishiji bila mke?, unafanya masturbation?, wewe ni shoga?, wewe haudindishi?, unanunua makahaba?......... kumbuka hizo option zote kwa mtu anayemjua mungu hazimfai ndio mana anaoa, sasa usifikiri kila mtu hamjui mungu kama wewe.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Sio kwel...waarabu wanaoa na kuolewa wakiwa wadogo na ndio matajiri wengi
Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana mafuta lakini wanachimbiwa na wageni mpaka leo.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wanaamini katika kujilipua lipua mpaka leo.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana chumi zinazotegemea zao moja kwa kiasi kikubwa.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana low literacy levels.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana nchi zao hazina uhuru wa kujieleza.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana tawala za kidini.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana mpaka leo nchi kama Saudi Arabia ina utajiri mkubwa wa mafuta lakini kuna watu masikini wanategemea ruzuku za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…