Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Muone huyu naeNa wewe utahama lini au unasubiri hadi saccos ifirisike?
Muone huyu naeNa wewe utahama lini au unasubiri hadi saccos ifirisike?
No ni CCM, umeambiwa hapo ni kituo cha mapumziko kabla ya kwenda kwa paymaster general.Kanunuliwa na NCCR Mageuzi huyo.
Kunywa kahawa na " wanakijiji wenye nembo za bibi na bwana " 😆😆😆Mambo ya siasa sikuhizi tulishaachana nayo wacha tuendelee kunywa kahawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali yeye atabaki historia lakini wewe hata kwenye historia haumo! Pole sana mkuu!Amesha chota zile Mbatia alizo ahidiwa ili kusimamisha wagombea nchi nzima. Katoa mlolongo wa historia yake ambayo sijaona hata impact yake kwa jamii. Huyu ndie atabaki kuwa historia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui.Angeenda CCM ungesemaje?
Hahahaha sawa!Sijui.
Hutaki au?Kunywa kahawa na " wanakijiji wenye nembo za bibi na bwana " 😆😆😆
mnanilipa ngapi ?Na wewe utahama lini au unasubiri hadi saccos ifirisike?
Hayo ni mawazo yako tu. Jaribu kuthibitisha hayo uyasemayo.No ni CCM, umeambiwa hapo ni kituo cha mapumziko...
"ifirisike" ndio nini wewe Mrundi?Na wewe utahama lini au unasubiri hadi saccos ifirisike?
Tulishamwona siku nyingiMuone huyu nae
Ukuni!!mnanilipa ngapi ?
Unasemaje mkara!"ifirisike" ndio nini wewe Mrundi?
Kawaulize wale madiwani wa Mbeya ambao mwenyekiti alipoenda kuwapokea kwa niaba ya huko waendako naye akapewa mapokezi ya tashwishwi na Chalamila!Hayo ni mawazo yako tu. Jaribu kuthibitisha hayo uyasemayo.
Kanunuliwa na NCCR Mageuzi huyo.
Huo kampe RC wenu wa Mzizima mliyemzoesha tokea wakati wa SixUkuni!!
Kwa nini niwaulize hao madiwani? Muda huo sina.Kawaulize wale madiwani wa Mbeya...
Sasa nikusaidieje, kwa mfano?Hii mbinu mnayoitumia kwa mbatia tulishaifahamu muda sana.