Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Upuuzi mtupu.Baada kusikia maneno ya kigogi kwamba wew Bashite sio riziki ache nikupuuze
Upuuzi mtupu.Baada kusikia maneno ya kigogi kwamba wew Bashite sio riziki ache nikupuuze
Habari za mapumnziko chato? Hayo ya Komu ni maigizo tunamsubiri sterling.Na wewe utahama lini au unasubiri hadi saccos ifirisike?
Nimesharudi niko Dar mkuu! Karibu tupate bia kidogo hapa Sinza MakaburiniHabari za mapumnziko chato? Hayo ya Komu ni maigizo tunamsubiri sterling.
It is following the rght path to its extinction. Listen hawa wahamiaji hata wasipopita kwenye sanduku la kura kuna uteuzi wa wabunge kwa nafasi ya rais.Hawa wananikumbusha wakati ule mwaka 1975/76 Yanga walipofarakana karibu timu nzima kasoro nafikiri wachezaji wawili tu Ahmadi Omari na Mwinda Ramadhani ambapo viongozi waliofukuzwa Yanga akina Mangara Tabu Mangara, Shiraz Sheriff, Steven Mwambungu, Edson Mwandemane nk waliwachukuwa wachezaji woote walioasinao na kuwapeleka kuwapaki Morogoro ktk klabu ya Nyota (Rip) kwa miezi kadhaa kabla ya kuwaleta tena Dar ktk klabu mpya waliyosajili ya Pan Africa.
It was very interesting indeed and the same scenario is repeating itself in local politics today as NCCR Mageuzi is assuming the role that the defunct Nyota FC of Morogoro once played of being a makeshift club for the estranged former Young Africans players.
What is not known is when NCCR Mageuzi will vanish from Tanzania political scene the way Nyota FC of Morogoro disappeared from Tanzanian football circles, we shall keep watching with an eagle eye to see if the analogy can materialize.
Shukrani sana mkuuHawa wananikumbusha wakati ule mwaka 1975/76 Yanga walipofarakana karibu timu nzima kasoro nafikiri wachezaji wawili tu Ahmadi Omari na Mwinda Ramadhani ambapo viongozi waliofukuzwa Yanga akina Mangara Tabu Mangara, Shiraz Sheriff, Steven Mwambungu, Edson Mwandemane nk waliwachukuwa wachezaji woote walioasinao na kuwapeleka kuwapaki Morogoro ktk klabu ya Nyota (Rip) kwa miezi kadhaa kabla ya kuwaleta tena Dar ktk klabu mpya waliyosajili ya Pan Africa.
It was very interesting indeed and the same scenario is repeating itself in local politics today as NCCR Mageuzi is assuming the role that the defunct Nyota FC of Morogoro once played of being a makeshift club for the estranged former Young Africans players.
What is not known is when NCCR Mageuzi will vanish from Tanzania political scene the way Nyota FC of Morogoro disappeared from Tanzanian football circles, we shall keep watching with an eagle eye to see if the analogy can materialize.
Linaitwa jiji la Chato mkuuHabari za mapumnziko chato? Hayo ya Komu ni maigizo tunamsubiri sterling.
Ahahahahahahhaaha! Mpaka nakuonea huruma!Pole dogo. tunaokula keki ya taifa tunawachora mnavyojipendekeza kwa watawala wasanii
Huo ni ushahidi wa wazi wa matokeo mabaya ya kupingana na chaguo la wananchiHuruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .