Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Good evening [emoji274]

Mimi sio mchambuzi mzuri Sana lakini nasikitika Sana kuona kiongozi umefikishwa hapo ulipo na chama Tena kwa mbeleko na nguvu za mwenyekiti alafu Leo unakengeuka.

Katika hili kwa sisi vijana HAKUNA somo la ki msimamo twaeza kupata kutoka kwa Hawa wazee wetu.

Mtu Kama Komu, Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo, kwa kumbukumbu zangu Mzee Komu kura za maoni za 2015 aliambulia 17 tu dhidi ya 300 za Lucy Owenya, lakini mbowe alisimamia na kumuinua..... Leo Komu anamuona mbaya Mh Mbowe......

It hurts

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mbowe si ndo aliyebadili gia angani...!!
 
Wewe ni aina ya watu ambao wana asili ya umalaya, wanathamini vitu na sio utu. Mtu akikupa kitu anakudhalilisha unakaa kimya kwa sababu alikupa gari!!!!!

Kaa kimya, mliambiwa hamkuamini... Mbowe atabaki na Lema na Mdee tu hata Lissu ataondoka sasa kwa akili zako ndogo... Hautaki kutatua tatizo unabaki kusema upuuzi humu?

Komu unamjua vizuri? Hamjui, i bet
 
Chadema hiyo hiyo ndio iliyoamua kumkata Lucy Owenya na kumpa yeye Komu nafasi. Asiye na fadhira hafadhiriki

Kumbe mnapeana vyeo kwa fadhila?

Komu kaficha siri za pesa miaka 15, lazima atetemekewe
 
Good evening [emoji274]

Mimi sio mchambuzi mzuri Sana lakini nasikitika Sana kuona kiongozi umefikishwa hapo ulipo na chama Tena kwa mbeleko na nguvu za mwenyekiti alafu Leo unakengeuka.

Katika hili kwa sisi vijana HAKUNA somo la ki msimamo twaeza kupata kutoka kwa Hawa wazee wetu.

Mtu Kama Komu, Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo, kwa kumbukumbu zangu Mzee Komu kura za maoni za 2015 aliambulia 17 tu dhidi ya 300 za Lucy Owenya, lakini mbowe alisimamia na kumuinua..... Leo Komu anamuona mbaya Mh Mbowe......

It hurts

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Himalaya, kuna wakati mwengine EMOTIONS zinakuwa ujinga, foolishness na Fedheha.

Kuna Msemo wa ndogo Zetu wa Kisomali ninaoupenda " WALE WAPATANAO KWA DHULUMA, WATAKUJA PINGANA PENYE HAKI" Umetuelezea kuwa Komu hakushinda uchanguzi wa ndani ya chama na alishindwa kwa kura 283, na bado Mhe.Mbowe kwa dhuluma alihakikisha Komu anapewa ushindi dhidi ya mshindi halali na kipenzi cha wana CDM, na nyie mkanyamaza kimya na kuendelea kumuunga mkono Mwenye Kiti Mbowe na kushangilia.

Leo mna haki gani ya kuja na tuhuma hizi, wakati muda wote wa miaka 4 mlikuwa mnaopalilia kwa shangwe na vigelegele. Na bado mna sura ya kutaka haki ya tume huru ya taifa, hali hamna tume huru ya nyumbani kwenu.

Ndugu kinachotuumiza watanzania wote tuwe Ccm ,chadema,Act nk.., tuwanafiki hatukosowi maivu yakwetu au ya nyumbani, lakini tu mahodari kokosiwa wenzetu. CHARITY BEGINS AT HOME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukweli lazima usemwe hawa jamaa wanazingua Sana..... Kuna tetesi pia Kubenea na Silinde nao wanahama, Sasa imagine mtu Kama Silinde au Kubenea chama kilivowabeba

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie muko blinded na mapenzi, wacheni kuangalia upande mmoja. Dosari kubwa ipo kwenye viongozi wenu wa juu, na namna chama kinavyoendeshwa. Hebu rudieni historia ya chama chenu na viongozi waliondoka ama kuondolewa , jiulizen ni kwa sababu gani, fanyeni analysis, sio kukurupuka.

Tanzania inahitaji vyama vya upinzani madhubuti vinavyoweza kuwa mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hizi dharau sasa!!
Mtu wewe ni mbunge mwakilishi wa wananchi wa Vunjo... Alafu hotuba ya mambi yako binasfi unaitoa ukiwa Dar??
Lingekuwa jambo la kitaifa pengine inge-make some sense!!
Where are you Wananchi??
Wake up!!
 
Wewe ni aina ya watu ambao wana asili ya umalaya, wanathamini vitu na sio utu. Mtu akikupa kitu anakudhalilisha unakaa kimya kwa sababu alikupa gari!!!!!

Kaa kimya, mliambiwa hamkuamini... Mbowe atabaki na Lema na Mdee tu hata Lissu ataondoka sasa kwa akili zako ndogo... Hautaki kutatua tatizo unabaki kusema upuuzi humu?

Komu unamjua vizuri? Hamjui, i bet
Unamtisha nani ? tulishasema Komu hana lolote , kama ni mwamba alipataje kura 17 ?
 
Back
Top Bottom