Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kaondoka Slaa, Mashinji, Sumaye, Lowasa who i s Komu? Ingeondoka ile miamba kumi na 17 Hapo sawa,thus tunasema mizoga huwezi nunua wanaopigiwa kura ukawaacha wapiga kuraAkili kama hizi ndio zinafanya chadema ionekane ya kihuni mbele ya watu wenye akili!
Komu ni mzoga? Hivi unajua nafasi aliyokuwa nayo Komu hapo chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app