Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #121
Haitakuja kutokea
Haitakuja kutokea
Mpe hongera Mbowe kwa huruma nyingi. Ukweli unabaki pale pale, Hakuna mtu anayeweza kuwa rais miaka 50 baada ya uhuru wakati maisha yake yalianzia kwenye kuendesha casino.
Kanunuliwa na NCCR Mageuzi huyo.
naambiwa kuna tetesi huenda akarudishwa nyumbani kwa ufisadi , eti ni kweli ?
Ndio mnavyokaririshwa huko ufipa?Ukienda chadema ni ushujaa saabu;
1. Mabomu wakati wowote
2. Kupelekwa lockup any time
3 kufukuzwa bungeni kila mara
4. Kipgo cha mbwa mla mayai
5. Kuvunjwa mikono nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba NCCR ni Quarantine ya muda? What if NCCR inatengenezwa kuwa aina ya mpimzani tumtakaye?
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi
Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi
Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza
Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo
My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu
Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
So what...?We endelea kukuza makalio ndugu Bashite badala ya maarifaLichama la ufipa linazidi kupukutika.
Sacco's ndio kinajifia hivyo bunge lijalo wakuwa watazamaji kambi kuu ya upinzani itakuwa chini zito
Chadema imfute tu uanachama. Haiwezekani uahidi utahamia kwa waasi afu uendelee kutumia nembo ya chama.
Nitawashangaa sana chadema kama hawatamuwahisha huko NCCR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio lugha unayofundishwa hapo ufipa sio?...We endelea kukuza makalio ndugu Bashite badala ya maarifa
Aachwe ahame mwenyewe ili kuepuka uhasama kati ya NCCR na chama kubwa CHADEMA.Chadema imfute tu uanachama. Haiwezekani uahidi utahamia kwa waasi afu uendelee kutumia nembo ya chama.
Nitawashangaa sana chadema kama hawatamuwahisha huko NCCR.
Sent using Jamii Forums mobile app