Haya yote yalishaelezwa baada ya Mbatia kutoka IkuluOngeza sauti mkuu.
Unamaanisha ya kuwa ule wito wa Mbatia kule jumba jeupe hayo ndiyo matokeo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yote yalishaelezwa baada ya Mbatia kutoka IkuluOngeza sauti mkuu.
Unamaanisha ya kuwa ule wito wa Mbatia kule jumba jeupe hayo ndiyo matokeo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ina nguvu ameshindwa kwenda hata ACT??Kwamba NCCR ni Quarantine ya muda? What if NCCR inatengenezwa kuwa aina ya mpimzani tumtakaye?
Kama kawaida yao kutukana na kupinga pinga ee mungu warudishie akili zao misukule ya ufipaMbona una hasira, vipi?
Siyo huruma, Ila mfumo Corrupt wa chadema unaowabeba wateule wa Mwenyekiti badala ya chaguo la wananchi. Hili liwe funzo, wapeni wanachama waliokipigania chama na wanaokubalika na wakazi wa eneo husika, nafasi za kuwawakilisha wananchi wao.Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Mipango ya ccm.
Wanadhani hatujui!!
Leo mmejaa mihasira kibao. Ha ha ha.Unapukutika wewe na wajinga wenzio wa Lumumba.
Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Kushinda kura za maoni ni mchakato wa kupitishwa , si kupitishwa moja kwa moja , bali kushinda kura za maoni ni dalili njema ya kupitishwaUnataka kutuambia kumbe kwamba CHADEMA hakuna demokrasia ila matakwa ya Mbowe, ama unataka kusema nini?
Kushinda kura za maoni ni mchakato wa kupitishwa , si kupitishwa moja kwa moja
Kamati kuu ndio ilimhurumia , Mbowe ni kiongozi wa Kamati kuu pia , waliona ni busara Komu agombee ili Lucy apitie viti maalum , ni mikakati tu , wala si kwamba Lucy alitupwa .Kwanini Mbowe awe na huruma naye na si kamati ya kupitisha wagombea? Na kwanini Mbowe awe na huruma na huyu jamaa na asiwe na huruma na Lucy?
Wakuhamia chadema watatokea wapi?Mbunge akijiuzuru na kuhamia Chadema ni shujaa, akienda chama kingine kanunuliwa. Ndio wimbo maarufu kwa sasa.