Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Bado Selasini. Bado Kubenea. Bado Bulaya.


CDM 2020 kinakuwa kama kimesajiliwa upya.

Hapa Zanzibar ndio hata hawakijui.
 
Mbunge akijiuzuru na kuhamia Chadema ni shujaa, akienda chama kingine kanunuliwa. Ndio wimbo maarufu kwa sasa.

Usitake kuchanganya hadithi hapo, ni hivi, mtu akihamia cdm anakuwa shujaa maana kajiunga sehemu anayoweza kufanyiwa hujuma za wazi. Ila ni vyema utenge hapo, akiondoka cdm kwenda ccm kahongwa na hilo halina mjadala.

Ila sasa kwakuwa inaleta ukakasi kuhamia ccm, Mbatia ndio kapewa mchongo wa kuwachukua watu toka cdm ili ionekane wanahama CHADEMA kwakuwa kuna matatizo. Na haya ni matokeo ya kikao cha Mbatia na Magufuli ikulu. Tuna uwezo mkubwa wa kujua mchongo mzima kwani upo kishamba zaidi.
 
Ukienda chadema ni ushujaa saabu;
1. Mabomu wakati wowote
2. Kupelekwa lockup any time
3 kufukuzwa bungeni kila mara
4. Kipgo cha mbwa mla mayai
5. Kuvunjwa mikono nje nje
Mbunge akijiuzuru na kuhamia Chadema ni shujaa, akienda chama kingine kanunuliwa. Ndio wimbo maarufu kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .

Munaanza kufichua siri sasa?
Kumbe munadhulumu Watu (Lucy Owenya) haki yao ya kuongoza kwa kuwapa Watu (Komu) Nafasi za upendeleo bila ya kuchaguliwa kwenye kura za Maoni?

Miccm imekosa Demokrasia lakini kumbe na CDM hakuna Demokrasia.
 
Oumuamua,
Mkuu uko sahihi sana, mimi nawataka CHADEMA wasihofu lolote maana wanawapiga kura wa kutosha. CHADEMA wahakikishe wanadai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote, hapo ndio siri ya urembo ilipo.

Kwa vyovyote kwakuwa cdm ina wapiga kura wa kutosha, iwapo watashikilia kupata tume huru ya uchaguzi, huo mkakati wa CCM na hivyo vyama mapandikizi lazima watapoteana. Katika watu ambao sikuona tija ya vyama kuungana ni mimi, nadhani kwa sasa ile shaka yangu imejidhihirisha.
 
Back
Top Bottom