Joseeleunyo
Member
- Oct 17, 2019
- 90
- 58
This was expected! Lazima angeenda kwa " Mama Filomena"Hahahaha sawa!
This was expected! Lazima angeenda kwa " Mama Filomena"Hahahaha sawa!
Sasa nikusaidieje, kwa mfano?
Sio huruma ni upumbavu..Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Kumbe na wewe ni Dada? Naona unawashwawashwa. Mwache ajibu niliyemquote. Wewe jibu yanayokuhusu!Huo kampe RC wenu wa Mzizima mliyemzoesha tokea wakati wa Six
Mbona una hasira, vipi?Huna la kunisaidia tuliza makalio chini.
Kwa hivyo kuna kupendeleana na wizi wa kura ndani ya chedema. Asante kwa kusema ukweli mduguHuruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Hapa napo nimeandika uongo ?Kijana hebu jiangalie unachofanya, Mnapiga kelele kupatikana kwa Tume huru ya uchaguzi, na huku hamtaki kuheshimu uamuzi huru wa mwanadamu. Iwapo huyu mbunge na mwanachama wa CDM kaamua kuhama chama, si hiari yake, kwanini mara nyingi mnawatukana.
Lakini akitoka chama kingine na kuja kwenu anajitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe hongera Mbowe kwa huruma nyingi. Ukweli unabaki pale pale, Hakuna mtu anayeweza kuwa rais miaka 50 baada ya uhuru wakati maisha yake yalianzia kwenye kuendesha casino.Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Wewe huoni unajidharirisha kuwa mwanasaccos usiyepata faida yoyote lakini ruzuku anapiga mwenyekiti wa maisha Mbowe na group lake wewe mapovu mengi lakini mfukoni zero?Yaani haya haya nimetoka kuongea kwenye ule uzi mwingine wa kuwa ataongea na wanahabari, nili m quote mkuu Magna carta.
Nilisema masaa machache yaliyopita kuwa binadamu tuache kuuza utu wetu.
Njaa, umaskini na ujinga wa hali ya juu ndio chanzo cha haya yote wala sio itikadi wala politics.
Hii inaonekana ni strategy mpya, ukinunuliwa hauendi moja kwa moja kwa waliokununua, unatulia kwanza transit camp.
Hii sio siasa. Tunadhalilisha utu wetu.
Kwanini chadema imejaza watu wanaojiuza hivi?Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda ccm ambaye ndiye mlipaji mkuu .