Tulisema na kushauri sana kuwa Kosa kubwa alilofanya Mbowe ni kuzuia Uchaguzi huru ndani ya Chama chake na kujifanya kuwa yeye ndiye anayeweza kuongoza hicho Chama kilichokua kimejaa wasomi wakati Fulani.
Kwa sasa wasomi na wazoefu wanapukutika kutokana na kudhalilishwa na Mbowe na watu wake wachache. Mwaka huu utakua ni mwisho wa Chadema kuwa Chama chenye wawakilishi Bungeni.
Chama kikuu cha upinzani kitakua ni ACT wazalendo na hapo itabidi Mbowe adharaulike sana kwa kuwafukuza watu wenye uwezo kwa maslahi yake binafsi.
Komu asidharaulike ni msomi makini sana na mtengeneza Sera mzuri sana. Bado Wabunge wengi wataondoka Baada ya kaliza muda wao. Hakuna mwenye akili timamu atakayebaki na siasa za kitoto zilizopo Chadema kwa sasa.
Sent using
Jamii Forums mobile app