Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Fukuza maramoja ma eskarioti,
Alisaliti seminari siasa ndo atakua yuda halisi

Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi

Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi

Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza

Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo

My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu

Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abebe na familia yake kabisa si bora angehamia ccm avute.Sasa huko kuna hela gani
 
Kweli nimemvulia kofia Komu. Sio mjinga aache alubaki yake ambayo ni kesho kutwa tu ka si hili likorona angekunja na kuweka kibindoni. Sasa ameamua kutangaza ili Mbowe amtimue aonekane kaonewa.
Nadhani mh Mbowe atatumia hekima ajikwepe naye asije mpa umaarufu wa bure. Ajue tu kuwa, hata angejiunga na ccm, kuupata tena ubunge kwa Moshi Vijijini ni sawa na kuupata uwaziri mkuu ccm
 
Na kwenye sanduku LA kura mwaka huu hata akigombea kwa ccm Lucy anamwangusha!
 
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi

Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi

Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza

Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo

My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu

Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
Wachawi utawajua tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge akijiuzuru na kuhamia Chadema ni shujaa, akienda chama kingine kanunuliwa. Ndio wimbo maarufu kwa sasa.
Akili kama za mleta mada ndio wanaiua cdm. Ujuaji mwingi,dharau,kujiona wao ndio wenye uchungu,matusi,kejeli na kumtuhumu kila mwenye mawazo mbadala kuwa msaliti.

Lichama kama hilo,huungwa mkono na watu walishikiwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi

Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi

Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza

Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo

My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu

Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
Akili zitawakaa sawa tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom