Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Wa nini?
Atapewa na wananchi siyo twetter constituentsKweli nimemvulia kofia Komu. Sio mjinga aache alubaki yake ambayo ni kesho kutwa tu ka si hili likorona angekunja na kuweka kibindoni. Sasa ameamua kutangaza ili Mbowe amtimue aonekane kaonewa.
Nadhani mh Mbowe atatumia hekima ajikwepe naye asije mpa umaarufu wa bure. Ajue tu kuwa, hata angejiunga na ccm, kuupata tena ubunge kwa Moshi Vijijini ni sawa na kuupata uwaziri mkuu ccm
then what!!??NCCR Mageuzi ndio kitarudi kuwa chama kikuu cha Upinzani baada ya miaka 25
Anthony kafanya uchaguzi sahihi
James Mbatia ndio atakuwa KUB
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka jamaa yao analala juu ya mawe akiwaza ametumia mbinu zote za kuuwa upinzani zimebuma.Njia rahisi ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz na sio kutwa kucha ni kumuwaza Mbowe tu.Cdm chama LA wana wenye akili kubwa
Ccm inataabika sana na cdm
NCCR Mageuzi ndio kitarudi kuwa chama kikuu cha Upinzani baada ya miaka 25
Anthony kafanya uchaguzi sahihi
James Mbatia ndio atakuwa KUB
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia ni kama junction tu , safari ya Komu inaendelea .
Lichama la ufipa linazidi kupukutika.
Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda ccm ambaye ndiye mlipaji mkuu .
Hueleweki.Likipukutika ndiyo utapona hayo magonjwa yako Mtambuka?
In God we Trust
Akili kama hizi ndio zinafanya chadema ionekane ya kihuni mbele ya watu wenye akili!Cdm yaweza kufa Kwa kuondokewa na miamba wake na sio mizoga
We uoni teuzi wanazopewa,we uoni wamepewa nafasi za kurudia kugombea upya nafasi zao na wakashinda kwa nguvu ya police.Toa ushahidi wa risiti tuone.
Mbowe kuwa KUB inasaidia kitu gani?Kwahiyo Mbatia akiwa KUB ndiyo itamaliza ugonjwa wa corona ulimwenguni?
In God we Trust