Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Hivi Silinde si alitimka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu za chini ya carpet ni kuwa he's on his way kwenda NCCR...ona andishi la Mbatia chini hapa
IMG_20200329_235454.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Himalaya,
Hilo ndilo tatizo kuu la Chadema. Acheni kanuni za ushindani ziwe huru, katiba ifuatwe hadi nukta, bila kumwangalia mtu usoni.

Sasa mtu mwenye sifa ni Lucy Owenya, Mbowe aliingilia kati ili iweje? Hata Mwenyezi Mungu haangalii mtu usoni, analiangalia neno lake apate kulitimiza, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Hilo ndilo tatizo kuu la Chadema. Acheni kanuni za ushindani ziwe huru, katiba ifuatwe hadi nukta, bila kumwangalia mtu usoni. Sasa mtu mwenye sifa ni Lucy Owenya, Mbowe aliingilia kati ili iweje? Hata Mwenyezi Mungu haangalii mtu usoni, analiangalia neno lake apate kulitimiza, apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Itakua waliiga CCM kipindi kile JK alivyokuja na majina yake mfukoni kwenye mkutano mkuu uliompa ushindi bwn yule.
 
Hilo ndilo tatizo kuu la Chadema. Acheni kanuni za ushindani ziwe huru, katiba ifuatwe hadi nukta, bila kumwangalia mtu usoni. Sasa mtu mwenye sifa ni Lucy Owenya, Mbowe aliingilia kati ili iweje? Hata Mwenyezi Mungu haangalii mtu usoni, analiangalia neno lake apate kulitimiza, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Nakubaliana na wewe Mkuu. ... Point ya maana Sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom