Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ndiyo maana tunatilia shaka hii taarifa kuwa kafa kwa ajali. Haiwezekeni mbunge alipata ajali juzi halafu taarifa isitoke siku hiyo ila ije itoke baada ya yeye kufariki kuwa eti alipata ajali juzi.
Wawili tena...!Wameshafika wawili
Yure Mbunge aliyefilia nje ya nchi, na huyuWawili tena...!
Ajali ya mwaka 2018Ndiyo maana tunatilia shaka hii taarifa kuwa kafa kwa ajali. Haiwezekeni mbunge alipata ajali juzi halafu taarifa isitoke siku hiyo ila ije itoke baada ya yeye kufariki kuwa eti alipata ajali juzi.
Maswali mengi mengi hivi..
Waliibishiwa hawakuibaMmmh, kama hakuiba kura Mungu amweke pahali pema.
Kifo hakibagui, walla kifo sio adhabu.Hivi alishinda kihalali au alipata ushindi wa mezani?
Mwenyezi Mungu amhurumie na kumpa pumziko la amani
Bwashee weka link ya video ya tulia,ndugai au mwenyekiti akitangaza ajali hiyo.Ina maana hata bungeni haikutangazwa kwamba kuna mbunge kapata ajali?
Au kuna mbunge kalazwa?
Acha urongo King Kong!
Ina maana hata bungeni haikutangazwa kwamba kuna mbunge kapata ajali?
Au kuna mbunge kalazwa?
Acha urongo King Kong!
Huyo mkosa kwani leo ndo ameanza kuibiwaWatu wakigoma sio wa mchezo. Unamuibia kura felix kweli unajiamini na nini? Alafu wale jamaa wakikupiga pigo ni familia yako yote wanaipoteza.
Ajali siyo lazima iwe ya chombo cha moto kama gari, pikipiki, ndege nk!Ndiyo maana tunatilia shaka hii taarifa kuwa kafa kwa ajali. Haiwezekeni mbunge alipata ajali juzi halafu taarifa isitoke siku hiyo ila ije itoke baada ya yeye kufariki kuwa eti alipata ajali juzi.
Maswali mengi mengi hivi..
Ngoja nichungulie kwenye ansard!Bwashee weka link ya video ya tulia,ndugai au mwenyekiti akitangaza ajali hiyo.
Hata taarifa za kuainisha gani ya ajali ilisababisha kifo chake hazijawekwa wazi.Ajali siyo lazima iwe ya chombo cha moto kama gari, pikipiki, ndege nk!
Mungu amlaze mahala pema pepon. AmenMbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.
Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969
Aisee.. Kwahiyo ubaisha kwamba hajafariki kwa ajali?Ajali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!
Mkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,Angemshinda vipi Felix Mkosamali bila kuiba kura ?
Atachapwa vipi bila uchaguzi?Mkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,
Hata baada ya kufa huyu bwana, mungu aliaze mahara pema peponi.
Hakuna cha wizi pale, bali chama cha mkosa mali kilikuwa kimekosa mali chenyewe.
Ajali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!
[/QUOTE
Ajali za barabarani hata mtoto wa Chekechea akigongwa na baisikeli akienda Shuleni hutangazwa saa hiyohiyo, mbona daladala ikigonga Waheshimiwa ajali haitangazwi wala hali yao na ya madereva mpaka mauti yawafike? Kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua!
Ngoja nichungulie kwenye ansard!