Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Inashangaza sana hii
7BECFE5E-BE7C-463D-9C9D-AA08432661D9.jpeg
 
Huwa hatuchunguzi kwa umakini hawa wateule ila wengi wana makando makando ya history zao za kitaaluma na hata kiutendaji.

No Wonder wapo so incompetent katika kushika na kuzitendea haki nafasi zao za kiutendaji.
 
Ni magumashi tu. Kaunga ifm certificate na ordinary diploma. Ilibidi awe na first degree kusoma masters.
Na hiyo university aliyosoma masters sijui ina acreditation gani.
Ni magumashi [emoji38][emoji1787]. Wajanja hawa wapwani sisi washamba wabara[emoji1787][emoji1787]
Hivi huwa kuna watu wanajitoaga akili kama wewe?fuatilia mjadala wa nyuma utapata majibu
 
Back
Top Bottom