Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Kuna wimbo wake mpya kuna kipande anasema,, ' hela sio matako kila mtu awe nazo' kisa kapata ubunge wa mchongo kwa kuwa hakuwa chaguo la wanachama wa ccm muheza, ila aliwekwa kilazima na aliyetangulia.. afu haka kajamaa kana dharau flani na kujiona kana IQ kubwa kumbe hata hiyo masters yenyewe ni ya mchongo..
 
Nilisikiaga tu vistori vya uongo na kweli mtaani kuwa etii mwamba alipata banda la kiswahili advance, sasa kama ni hivyo huyu alitoka advance akaenda degree, hiyo cv itakuwa sio yake
 
Back
Top Bottom