myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kuita magumashi uwe na ushahidi....Ni magumashi tu. Kaunga ifm certificate na ordinary diploma. Ilibidi awe na first degree kusoma masters.
Na hiyo university aliyosoma masters sijui ina acreditation gani.
Ni magumashi 😆🤣. Wajanja hawa wapwani sisi washamba wa bara🤣🤣