Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Inawezekana hiyo Ni advanced diploma ambayo ni equivalent to Bachelor degree. Huwenda Kuna error kwenye uandishi wa CV yake
Kwa mtiririko hapo Katoka certificate mpk diploma ukisema hiyo ni advance unaleta ukakasi kidogo kwamba ifm unaweza Toka certificate mpk advance [emoji849]
 
Diploma ya miaka mitatu imekuwepo kwa mda mrefu mkuu!

Diploma za miaka mitatu ziliwahusu zaidi wahitimu wa kidato cha nne..

NB; diploma hizi hazikuhusisha kada ya ualimu!!!
Hakuna diploma ya miaka mitatu bali huwa vyuo vinaunganisha miaka mitattu kwa maana ya mwaka kwanza certificate, na miaka miwili diploma. Ukiangalia yeye tayari alikuwa na certifiacte. Hivo kwa aina hiyo ya kozi hakuna diploma ya miaka mitatu, labda fani ya udaktari. Rudi tena kufanya utafiti mpya kuhusu hilo.
 
Huwa hatuchunguzi kwa umakini hawa wateule ila wengi wana makando makando ya history zao za kitaaluma na hata kiutendaji.

No Wonder wapo so incompetent katika kushika na kuzitendea haki nafasi zao za kiutendaji.
Umenikumbusha kile kitabu cha bwana Msemakweli kinachoitwa MAFISADI WA ELIMU TANZANIA
 
Kwa mtiririko hapo Katoka certificate mpk diploma ukisema hiyo ni advance unaleta ukakasi kidogo kwamba ifm unaweza Toka certificate mpk advance [emoji849]

Ndio ifm unaweza kutoka certificate mpaka advance diploma.

Unashangaa hiyo.. mzumbe unaweza toka certificate mpaka degree
 
Huwa hatuchunguzi kwa umakini hawa wateule ila wengi wana makando makando ya history zao za kitaaluma na hata kiutendaji.

No Wonder wapo so incompetent katika kushika na kuzitendea haki nafasi zao za kiutendaji.
Pompeo aliwahi kusema neno fulani hivi.........!
 
kivyovote advanced diploma huwezi kusoma bila ya ordinary diploma au degree au masters
 
Huu ni uhuni wa hali Juu mfano hata kama alisoma advanced diploma hapo IFM lakini je alisomaje hiyo advanced diploma bila ya ordinary diploma,degree au masters?
kwa series yake ilitakiwa iwe hivi certificate, ordinary diploma, advanced diploma ambayo kwa wakati ule ni equivalent to degee ndio baada ya hapo tungeona hiyo masters begree.
tupimegwaaa
 
Kuna wimbo wake mpya kuna kipande anasema,, ' hela sio matako kila mtu awe nazo' kisa kapata ubunge wa mchongo kwa kuwa hakuwa chaguo la wanachama wa ccm muheza, ila aliwekwa kilazima na aliyetangulia.. afu haka kajamaa kana dharau flani na kujiona kana IQ kubwa kumbe hata hiyo masters yenyewe ni ya mchongo..
Huo wimbo unaitwaje shehe? Nimependa ujumbe.
 
Watanzabia exposure yetu kwenye elimu ni ndogo sana.

Kiti ambacho hamjui ni kuwa unaweza kuso, a masters bila kuwa na degree ya kwanza kama utakuwa na experience baada ya kufamya kazi imaondana na hicho unacho kisomea.

👇 Hii hapo chini prospectus ya Moja ya vyuo hapa Africa na hivyo ndio vigezo vya kujiunga na Masters program
Screenshot_20230228-193921.png

Ndigu zangu watanzania tiache maisha ya kukariri
 
Huu ni uhuni wa hali Juu mfano hata kama alisoma advanced diploma hapo IFM lakini je alisomaje hiyo advanced diploma bila ya ordinary diploma,degree au masters?
kwa series yake ilitakiwa iwe hivi certificate, ordinary diploma, advanced diploma ambayo kwa wakati ule ni equivalent to degee ndio baada ya hapo tungeona hiyo masters begree.
tupimegwaaa
Unaweza soma Advanced Diploma ukiwa na certificate. Siku nyingine kaa kimya kwa mambo usiyoyajua.
 
Back
Top Bottom