Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Ni magumashi tu. Kaunga ifm certificate na ordinary diploma. Ilibidi awe na first degree kusoma masters.

Na hiyo university aliyosoma masters sijui ina acreditation gani.

Ni magumashi [emoji38][emoji1787]. Wajanja hawa wapwani sisi washamba wa bara[emoji1787][emoji1787]
Ukiishi mitaa ya maskini lazima ulogwe ama wakuibie.

Maskini wana roho za kishhetani siku zote
 
CCM wameua elimu yetu ,hao ndio thinkers wa Rais wa samia
Siasa haitaki kusoma sana. Wasomi wawe madaktari na ma Engineer jamani. Siasa Ni blahh blah za kutosha yaani ujanja ujanja na kujipendekeza Mara umfungie ridhiwani kamba ya kiatu ukuu wa wilaya ama wajumbe wanakupitisha Mana simu inatoka juu
 
Watanzabia exposure yetu kwenye elimu ni ndogo sana.

Kiti ambacho hamjui ni kuwa unaweza kuso, a masters bila kuwa na degree ya kwanza kama utakuwa na experience baada ya kufamya kazi imaondana na hicho unacho kisomea.

[emoji116] Hii hapo chini prospectus ya Moja ya vyuo hapa Africa na hivyo ndio vigezo vya kujiunga na Masters programView attachment 2532907
Ndigu zangu watanzania tiache maisha ya kukariri
Nilipoona icho kigari apo kwenye prospectus, nikajua hakuna chuo hapo.
Hio ni Amazon College
 
Watu wako rigid wamekariri kuna wengine wana masters hawajafika hata fom4
 
Inawezekana hiyo Ni advanced diploma ambayo ni equivalent to Bachelor degree. Huwenda Kuna error kwenye uandishi wa CV yake
Ukipiga advance diploma lazima usome post graduate diploma ndo upige mastaz au labda kwa vile kasoma mbele kaweza kuwakwepa TCU
 
Ukipiga advance diploma lazima usome post graduate diploma ndo upige mastaz au labda kwa vile kasoma mbele kaweza kuwakwepa TCU
Sio lazima. Ni baadhi ya vyuo ndo hulazimisha upite kwanza postgraduate
 
Wabongo waletee habati picha tu wao watamaliza kila kitu.
Kuna mamti hayataki kujifunza mambo mapya.

Reply #12 & 13 kuna majibu sahihi.
 
Huyu ana advanced diploma equivalent na degree acheni kumdharau huyo ni bonge la msomi
 
Elimu ni System tu ya Maisha iliyotengenezwa na Binadamu Kama Wewe, Ukikariri Sana Utajiumiza Bure...
 
Back
Top Bottom