Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Labda hiyo diploma ni advance diploma which is equivalent to le Degree

Kuna mwamba alinipanga eti mchizi alikua anafanya kazi Bank alafu,

Hivi anayeandaa hizi profile nani? Nimeona BASATA na taasisi zingine kama Bunge zimewekwa kwenye category ya political party nimechoka
 
Ali piga Advanced diploma, ndio akaenda kukamata masters, zamani IFM walitoa advanced diploma ambayo ni sawa na degree kwa sasa na wengi walisoma hivo kwa zamani lakini kulikua na level ya ufaulu hivi ili uruhusiwe kupiga masters
 
Kuna mtu aliuliza ni kwa nini bara la Afrika haliendelei? Hiyo deree ya pili aliyopata bila kuwa na ya kwanza ni uhalisia wa bara letu kuwa nyuma. Wapo wengi wa namna hiyo. Na wale wanaosaini mikataba kwa kuisaliti nchi ni watu wa namna hiyo. Eee Mungu tuepushe na haya majanga!
 
Hivi huwa kuna watu wanajitoaga akili kama wewe?fuatilia mjadala wa nyuma utapata majibu
Mi nimeangalia hiyo cv yake kwenye bunge. Sasa comment yangu ina kasoro gani? Umeona wapi mtu kufanya masters bila first degree au equivalent qualification.
Hapo tunachoona ni diploma and then masters kitu sio cha kawaida.
 
Ni Advanved Diploma naona kuna error kwa aliyeandika hii CV ,miaka ya nyuma IFM walikuwa wanatoa Advanced Diploma ambayo ni Equivalent na Degree ya sasa ambao nao kwa sasa IFM wanatoa degree wameachana na Advanced diploma
Ukisoma Advanced diploma unapaswa usome Postgraduate Diploma ili ukwolifai kusoma Masters
 
Labda hiyo diploma ni advance diploma which is equivalent to le Degree

Kuna mwamba alinipanga eti mchizi alikua anafanya kazi Bank alafu,

Hivi anayeandaa hizi profile nani? Nimeona BASATA na taasisi zingine kama Bunge zimewekwa kwenye category ya political party nimechoka
Kwa hiyo aliruka kutoka Certificate mpaka Advanced diploma?
 
Back
Top Bottom