Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Attachments

  • 27438459-8DA5-484F-B631-81AFA536D4B4.jpeg
    27438459-8DA5-484F-B631-81AFA536D4B4.jpeg
    55.4 KB · Views: 5
Ni magumashi tu. Kaunga ifm certificate na ordinary diploma. Ilibidi awe na first degree kusoma masters.

Na hiyo university aliyosoma masters sijui ina acreditation gani.

Ni magumashi 😆🤣. Wajanja hawa wapwani sisi washamba wa bara🤣🤣
Mkuu hapo IFM alisoma advance diploma, hakusoma ordinary diploma kama ilivyoandikwa kwenye cv,
 
Hawa waliosoma juzi ni ngumu kukuelewa, enzi hizo mzumbe ni IDM

Sio IDM tu. Wakati mzumbe imeshakuwa university kabisa huo utaratibu ulikuwepo.

Mfano halisi ni binti anaitwa Nancy Kamuzora aligraduate mzumbe university mwaka 2011.

Alimaliza form 4 st francis mbeya mwaka 2006

Kisha akajiunga na mzumbe university na kusoma certificate ya marketing mwaka 2007 Na kumaliza july 2008

Mwaka 2008 october akajiunga kusoma degree ya BBA hapo hapo mzumbe na kuhitimu mwaka 2011 july. Na kutunukiwa degree yake kwenye mahafali yaliyofanyika december 2011 ya chuo kikuu mzumbe.

Huo mfano halisi. Wapo watu wengi sana wamepitia njia hiyo ya Nancy
 
Nadhani ni typing error au mkanganyiko wa kawaida wa kibinadamu, MWANAFA alisoma ADVANCED DIPLOMA ( ambayo ni sawa na DEGREE) ama sifa zake zinakuwezesha kusoma MASTERS DEGREE

Kama sijakosea alisoma na BABU AYUBU
 
Jiulize kwanza alipataje ubunge MTU Kama Adadi akaachwa?
CCM ni habari ingine. Ukiangalia wakuu wa mikoa utanielewa.
 
Nadhani ni typing error au mkanganyiko wa kawaida wa kibinadamu, MWANAFA alisoma ADVANCED DIPLOMA ( ambayo ni sawa na DEGREE) ama sifa zake zinakuwezesha kusoma MASTERS DEGREE

Kama sijakosea alisoma na BABU AYUBU
No, Babu ayubu maisha yake yote anasoma open university tu
 
Alisoma chuo kimoja kina mtaala wa UK hapa dar kwa sasa kishafungwa. ndio kwenda kumalizia huko
 
Back
Top Bottom