Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

Ukiishi mitaa ya maskini lazima ulogwe ama wakuibie.

Maskini wana roho za kishhetani siku zote
 
CCM wameua elimu yetu ,hao ndio thinkers wa Rais wa samia
Siasa haitaki kusoma sana. Wasomi wawe madaktari na ma Engineer jamani. Siasa Ni blahh blah za kutosha yaani ujanja ujanja na kujipendekeza Mara umfungie ridhiwani kamba ya kiatu ukuu wa wilaya ama wajumbe wanakupitisha Mana simu inatoka juu
 
Nilipoona icho kigari apo kwenye prospectus, nikajua hakuna chuo hapo.
Hio ni Amazon College
 
Watu wako rigid wamekariri kuna wengine wana masters hawajafika hata fom4
 
Inawezekana hiyo Ni advanced diploma ambayo ni equivalent to Bachelor degree. Huwenda Kuna error kwenye uandishi wa CV yake
Ukipiga advance diploma lazima usome post graduate diploma ndo upige mastaz au labda kwa vile kasoma mbele kaweza kuwakwepa TCU
 
Ukipiga advance diploma lazima usome post graduate diploma ndo upige mastaz au labda kwa vile kasoma mbele kaweza kuwakwepa TCU
Sio lazima. Ni baadhi ya vyuo ndo hulazimisha upite kwanza postgraduate
 
Wabongo waletee habati picha tu wao watamaliza kila kitu.
Kuna mamti hayataki kujifunza mambo mapya.

Reply #12 & 13 kuna majibu sahihi.
 
Huyu ana advanced diploma equivalent na degree acheni kumdharau huyo ni bonge la msomi
 
Elimu ni System tu ya Maisha iliyotengenezwa na Binadamu Kama Wewe, Ukikariri Sana Utajiumiza Bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…