TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

Hakika Bwana altioa, na pia ndiye amemtwaa mja wake, Jina lake Mola wetu likapate kubarikiwa. Pole nyingi kwa familia ya marehemu, kwa wapiga kura wake na kwa Bunge la JMT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Mja atafufuliwa juu ya lile alofia juu Yake.
Watu Tumepumbazika sana na Dunia,
Ila atajuta Mwanadamu atakayeondoka Duniani akiwa hajaridhiwa na Mola wake.
 
Leo nilijuwa ndungai angetoa majibu ya nyodo kama alivyosema kwa Lissu kuwa hajui yupo wapi ! Ningemwona ndungai wanasema binge lilikuwa halijuwi kama marehemu anakaa gesti house miaka yote minne hana kibanda
 
Soteni wa Mwenyezimungu Na kwake tutarejea,
Tutakukumbuka kwa mengi maZuri
Mwenyezimungu akuhifadhi mahali panapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…