Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kazi ipo!Pumzika ulipo jiandalia, ni wakati wa Hamonize kuchukua nafasi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipo!Pumzika ulipo jiandalia, ni wakati wa Hamonize kuchukua nafasi hii.
Akili za mwanangu Isaac hiziPumzika ulipo jiandalia, ni wakati wa Hamonize kuchukua nafasi hii.
Bwana alitoa bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe
Kwa nini kwenye nyumba za wageni,kuna siri gani,au ndio mambo ya ufisika?Anyway,R.I.P.kama huko kuna peace kweli.Alazwe Anapostahiri
Vifo Kwenye Nyumba Za Wageni Vinaongezeka
Kwann ampunguzie adhabu ya kaburi mkuu?Guest hapa ndiyo iliyobeba habari.Anyway Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi!
Mkalimani anahitajika hapaVyumba vya gesti vinamauzauza mengi sana.
Luna nililala kwenye nzuri na ya maana tanga niliomba kukuche.
Ungesikia mengi gani we dogo? Unataka kuleta mambo ya majitaka?
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameeleza kusikitishwa kwa taarifa za kifo cha Mbunge wa Newala Vijijini, Rashid Akbar, kilichotokea leo Januari 15, 2020 mkoani Lindi, na kueleza ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia watatoa taarifa ya mazishi ya Mbunge huyo.
Wakati akiwa hai akichangia mjadala Bungeni
View attachment 1324208
ccm inaokoteza tu , huyu kijana tunaambiwa hajui hata kusoma na kuandika ! lakini Magufuli anataka kumpa jimbo !Pumzika ulipo jiandalia, ni wakati wa Hamonize kuchukua nafasi hii.
Simpangii mtoa adhabu ila nasema tu hivyo just in case! Daah mkuu ujue kufia Madina Mecca hata kama hukuwa muumini mzuri basi wenye imani zao wanaamini umeenda kwa Mola, sasa najiuliza tu ukifia kibanda umiza..Kwann ampunguzie adhabu ya kaburi mkuu?
Mkuu nisamehe sana tecno sio simu kabisa unaandika hili linakuja lingine.
[emoji848][emoji848] kumbe ndio hivyo?ccm inaokoteza tu , huyu kijana tunaambiwa hajui hata kusoma na kuandika ! lakini Magufuli anataka kumpa jimbo !
Hiyo ni sawa na kusema lazima mwaka walimu watakufa sana then aanza kufuatiliaHmm!, kuna jamaa alinambia lazima mwaka huu wabunge kadhaa watakufa sasa naona utabiri unakua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo nyie watu wa upinzani kazi yenu kwa awamu ya tano baada ya CCm kuwabana kila kona hadi kuishiwa pumzi,mmekuwa na mikakati ya kutaka kuiaminisha jamii kuwa mauaji yote yanayofanywa au kutokea katika hali ya sintofahamu yanafanywa na Government,kwa dhana hii huyu Mh .angekuwa ni wa upande ule, kelele zingesikika sana tu,
naomba nikuambie kuwa licha ya juhudi zenu za kutaka kuichafua government kwa wananchi hii haisaidii na wala haitakuwa mbinu mbadala ya ninyi upinzani kuchukua uongozi wa nchi hii.
Kitakacho wanusuru japo kwa uchaguzi wa oktoba muwe hata na wabunge wawili na madiwani japo watano ni kubadili Sera zenu kitoka kwenye chama cha ushirika na kuwa chama cha siasa chenye mlengo wa kutaka kutatua changamoto za wananchi kama ambavyo serikali yangu ya CCM inavyo shughulikia matatizo ya Raia wake.
Sent using Jamii Forums mobile app