DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
DPW inawachanganya, Ngorongoro kunawachanganya yote ili kumfurahisha mwarabu, tuna kiongozi mjinga sana, hawajali hata kama wazee wa wenzao wanazimia, wao wako busy kama watumwa wa mwarabu kuhakikisha wanamuandalia makao mema bosi wao.

Aibu kubwa sana hii.
Siku Tanganyika ikirudi tutarudisha vitu vyetu. Muungano wa kichoko sana. Nyerere alaaniwe popote alipo.
 
amani tuliyonayo naona imetuchosha.
 
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro

“Naomba kuwasilisha kwenu, kama Kuna lolote litanitokea mjue kuwa ni maelekezo ya DC wa Ngorongoro na mkuu wa mkoa wa Arusha” - Emmanuel Lekishoni Ole Shangai

Shangai anaeleza kwamba hata mke wake na familia yake wanapokea vitisho vya kuuwawa na kwamba wamefika nyumbani kumkamata mkewe.

Emmanuel Lekishoni Ole Shangai anasema baada ya jeshi la polisi kuvamia nyumbani kwake na mitutu ya bunduki mama yake mzazi alizimia hadi sasa hajarudi katika hali yake.

Hii ni baada ya Emmanuel Lekishoni Shagai kuamua kukataa kabisa biashara ya kuwahamisha Maasai kutoka Ngorongoro kwa lazima.

Maji yamechemka sana. MaCCM yameamua kumalizana. Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha. Sasa wanamshughulikia ndugu yao.View attachment 2723126
mwarabu kaleta balaa nyumbani Tanzania, wanataka ngorongoro, wanataka misitu, wanataka bandari.
 
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro

“Naomba kuwasilisha kwenu, kama Kuna lolote litanitokea mjue kuwa ni maelekezo ya DC wa Ngorongoro na mkuu wa mkoa wa Arusha” - Emmanuel Lekishoni Ole Shangai

Shangai anaeleza kwamba hata mke wake na familia yake wanapokea vitisho vya kuuwawa na kwamba wamefika nyumbani kumkamata mkewe.

Emmanuel Lekishoni Ole Shangai anasema baada ya jeshi la polisi kuvamia nyumbani kwake na mitutu ya bunduki mama yake mzazi alizimia hadi sasa hajarudi katika hali yake.

Hii ni baada ya Emmanuel Lekishoni Shagai kuamua kukataa kabisa biashara ya kuwahamisha Maasai kutoka Ngorongoro kwa lazima.

Maji yamechemka sana. MaCCM yameamua kumalizana. Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha. Sasa wanamshughulikia ndugu yao.View attachment 2723126
Pia soma hapa
👇👇
Mungu anaratibu anguko la CCM... Mungu anaofuta CCM kwa kasi kubwa. Amewafunga ndimi zao wanaongea kila mtu kama mkazi wa mnara wa Babeli
 
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro

“Naomba kuwasilisha kwenu, kama Kuna lolote litanitokea mjue kuwa ni maelekezo ya DC wa Ngorongoro na mkuu wa mkoa wa Arusha” - Emmanuel Lekishoni Ole Shangai

Shangai anaeleza kwamba hata mke wake na familia yake wanapokea vitisho vya kuuwawa na kwamba wamefika nyumbani kumkamata mkewe.

Emmanuel Lekishoni Ole Shangai anasema baada ya jeshi la polisi kuvamia nyumbani kwake na mitutu ya bunduki mama yake mzazi alizimia hadi sasa hajarudi katika hali yake.

Hii ni baada ya Emmanuel Lekishoni Shagai kuamua kukataa kabisa biashara ya kuwahamisha Maasai kutoka Ngorongoro kwa lazima.

Maji yamechemka sana. MaCCM yameamua kumalizana. Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha. Sasa wanamshughulikia ndugu yao.View attachment 2723126
Kuna kiongozi wa dini amesikika akisema Magufuli aliwaua na kuwanyanyasa watu sasa sijui Magufuli bado yupo hivi sasa!!?
 
Acha tu atishiwe maisha maana amezidi ujinga. Badala ya kujenga hoja anakimbilia vita! Ametuma watu wafanye uhalifu halafu asikutane na mkono wa sheria!
 
Hao walikuwa wanahabari au MAWAKALA WA MAFISADI NA WALA RUSHWA WAKUBWA WA AWAMU YA SITA?
Kwa taarifa yako Mawakala wa Mafisadi na walarushwa ni wasaliti wa Taifa. Hawa waandishi wa aina ya KITENGE na wa gazeti la mwananchi ni maadui wa taifa.

Hawa wanajali matumbo yao tu na starehe za familia zao. Hawana habari Kabisa na dhiki wanazopata maefu ya wamasai. Kwa maoni yangu Kushambuliwa tu haitoshi, hawa haki yao ni kufugwa jiwe la kusagia na kutupwa baharini.
Acha tu wamlawiti
 
Yani mambo ya ajabu sana

Kuna jamaa yangu nilikuwa naongea nae akaniambia suala la Ngorongoro ni la moto sema tu halijapewa airtime kama DPW.

Unaambiwa habari za kusema wamasai wamehama kwa hiari ni uongo mtupu.

Hii nchi kazi kwelikweli

Watu wazima wamejizima data na kusahau kuwa ....Unaweza kumlazimisha Punda kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji!
 
Back
Top Bottom