DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
hili la ngoro ngoro nalo nilakuvalia njuga kwanini wanatumia hela nyingi hivyoo kuhonga.

hawa waarabu wanataka kuja kutawala tena tanganyika. huyu bibi arudishwe zenji akauze zenji.
 
Nchi yetu sote ila kuna baadhi ya watu tuliowapa uongozi kujiona wao ndio kila kitu dhidi wananchi...

Wakumbeke upole una muda wake, watu watachoka, wasituone wametuweza na kufanya wanavyohitaji ila yana mwisho
Mliwapa uongozi ama dhalimu alipora uchaguzi akaweka majizi menzake?
 
Back
Top Bottom