Watu wengine mnavituko kweli,ukiulizwa nini maana ya tume huru hujui lakini umekalia nyimbo za tume huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako mimi sio kiazi kama ww na ninajua ninachokizungumza. Sio kwamba kujua tu maana ya hiyo tume huru, bali hata tume huru iweje na ifanye vipi kazi nafahamu kwa usahihi. Ww usiyejua maana ya tume huru ya uchaguzi ndio umemezeshwa maneno ya kuona tume huru ya uchaguzi sio muhimu, na hii iliyopo ni tume huru. Nakushauri utulie wanaume wajadili uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Simchukii Mbowe hata kidogo nina tatizo na jinsi Chadema inavyoendeshwa. Tatizo kubwa ni watu kama nyie ambao mnafaidika na utawala wake. Nafikiri baada ya kibano 2020 then tutajua kama mnaipenda Chadema au mnapenda Mbowe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Keep on dreaming,kama unataka tume guru anzeni kwanza huko chadema muunde tume guru,maana mboye ni mtaalamu wa kuchakachua matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno wameongea wanaume na wa unadakia na kulipaka mafuta, lakini huna lolote ujualo ww makande yaliyochacha.
Akili za kuambiwa na changanya na zangu.
..amemkaimisha.
..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Hili lilikuwa jambo la kiofisi tu .Huyu hajataka barua ya kuwa mnadhimu Bali barua rasmi kukaimu nafasi Hiyo.
Kama unamteua mtu kukaimu nafasi maana yake muhusika hayupo kwa wakati huo na Kama anafanya majukumu yote mpe barua rasmi ya ofisi ili likitokea tatizo lolote usimruke awe na maandishi.
Ikitokea Mbowe katolewa,kafa,kaumwa n.k yeye aliyekaimu inawezekana akashindwa kutekeleza majukumu yake kwasababu yakukaimishana kwa mdomo ofisi zinaweza zidimtambue.
CDM ianze kuafuata taratibu za ofisi Kama taasisi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu ni watu wa ajabu sana
Kanuni haisemi mnadhimu akipigwa risasi nafasi yake isizibww,kazi lazima zifanyike
Lissu ameshambuliwa eneo wanaloishi viongozi lakini linalindwa na kampuni binafsi
Shahidi muhimu ni dereva anaetakiwa kuisaidia polisi basi hata muonekano wa hao washambuliaji,lakini kwa kuficha aibu ya kujulikana mipango yenu ovu,mmeamua kumficha dereva ambae ni shahidi muhimu sana
Nguvu ya cdm ilikuwa inaletwa na Selasini kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?