Ambao hawaamini upinzani kunatatizo watastuka Hakuna mbunge hata mmoja
Natamani nijufunze uchawi
Hahahah utangoja sana chadema ife nakushauri endelea kutafutia tumbo lako ukiisubiri chadema ife utapoteza muda wako.Ni kweli haiokoi ccm ila imeuwa chadema. Tunatarajia chama kingine kipya cha upinzani. Sio hawa wahuni wasioaminika.
Hii mbinu aliyokuja Nayo Mbowe ni nomaaa. Kesho utamsikia Kubenea naye kahamia.James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 889617View attachment 889618
Mnamo Agosti 4, mdau wa JF alidokeza kuwa Millya alikuwa na mpango wa kujiuzulu ubunge. Soma > Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa - JamiiForums
Walahi tena 2020 sio mbali. Utaona kitakachotokeaNdugu Mtanzania unayeamini upinzani kuna tatizo, unaona hayo matatizo yanavyohama?
Kweli mwisho wa siku WAPINZANI watastuka kwao hakuna tatizo hata moja, matatizo yote yatakuwa yamehamia CCM
Tulizana bandugu, haya majamboz yanaweza kukupa uchizi, hasara ya kugharamia dawa za vidonda vya tumbo sababu ya stressna mwishowe kumuona mkeo kitandani kama kaka yako.Biashara inaendele!!
Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.
Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k, bali ni pamoja na bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara na masilahi bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k.
Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kutopanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k.
Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.
Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.
Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.
Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.
Kibaya zaidi hakuna mnacho-achieve, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu!
CCM hii ni ndoto kubadili maisha ya watanzania kwani miundombinu pekee sio muarobaini wa unafuu wa maisha ya mtanzania.
Hakuna nchi ilioendelea kwa wabunge au madiwani kujiuzulu na kumuunga mkono Raisi alie madarakani na kusababisha nchi kuingia gharama kubwa za marudio ya uchaguzi kila kukicha.Hakuna.
Mnatutia aibu watanzania!
Poor you!
Nyinyi ndio wale mwalimu aliwaita mercenaries.
Kwa rambirambi?Kwa huyu nilitarajia sana.Ni uamuzi mzuri na wa busara.Karibu CCM tuendelee kujenga taifa letu
Sijijui, mtaa wa LumumbaHivi wakati Nyerere anakabidhiwa nchi na mwingireza, ofisi za Tanu zilikuwa wapi mkuu?
Ni ujenzi wa taifa Bado.Tunajenga kwa mapato ya ndaniKwa rambirambi?
Kweli mkuu...nlikua na andika huku nina hasira na haya mambo ya kijinga yanayoendelea nchiniKiswahili kizuri ungeandika "hawa wa huku watasema hivi na wale wa kule watasema vile" Sasa wewe umeandika wote ni wa huku na wote watasema hivi. Yaani hawana tofauti ya location, wote ni huku na pia hakuna tofauti ya watakachosema, wote ni hivi. Lugha ikiandikwa au kusemwa vizuri, hufikisha ujumbe vizuri zaidi.
Hivi wapinzani ni Wabunge au wananchi? Kama mnajidanganya kwa kununua kura moja kwa milioni 200 basi hakika nyie ni wap....vu wa kiwango cha lami.Hadi july ije ifike upinzani si watakuwa wameshaisha?