Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

hadi raha, hao wapinzani inabidi waitishe semina na vikao vya kufundana make bika hivyo yale mabenchi ya upinzani pale bungeni atabaki tu Tundulissu.
Hujui kua Tundulissu mmoja anatosha Sana kuwatia akili Chama kizima?
 
AISEEE BORA WAENDELEE KUNUNUA KULIKO KULIKO KUTEKA NA KUPIGA RISASI!!!!!!!
 
Mwenye idadi kamili ya MPs waliohama mpaka sasa anijulishe tafadhali
 
Lissu ana akili timamu wewe? Chukueni hayo makinikia.
Chama kinakufa atabaki peke yake. Kuna msemo wazungu husema, if you cant fight ith them...... Join them. Nafikiri cdm ili wakwepe aibu ilombele yao wangeutumia huu msemo
 
Nasema tena busati
 
Matusi, dharau na kejeli hayajibu matatizo yenu. CDM inadondoka kutokona kuwa na wanazi wa aina yako, hamko tayari kuupokea ukweli, sasa kesheni mkitukana na kujiliza liza hapa ila 2020 hiyo Saccos inadondoshwa:
Wewe ni sawa na matonya wa dodoma tu
 
Hii ni preventive measure,yaani unamtangaza mtu kwa kumuhisi ili kama alikuwa na mpango huo auache!
 
Tanzania Ni Moja

Rushwa Ni Adui Wa Haki Sitatoa Wala Kupokea Hii Ni Ahadi Ya Mwana Tanu
 
K
Wanatuchosha basi tu
Katika siasa watu wanasema kwamba, kama unaona mpinzani wako anakusumbua, tumia njia ya 'accommodation', yaani unamfanya awe sehemu ya chama chako. Hivyo msipagawe, mlifanya hivyo chakadema kwa kumchukua maumvi, ziro, nyarandu. Sasa ngoma inogile kwa upande wa pili
 
Hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako unahisi kila anaechukia kinachofanywa na ccm ni chadema hivi watanzania lini tutafufuka kifikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…