Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Chama kinakufa atabaki peke yake. Kuna msemo wazungu husema, if you cant fight ith them...... Join them. Nafikiri cdm ili wakwepe aibu ilombele yao wangeutumia huu msemo
Nasema hivi Lissu ana akili timamu hawezi kujiunga na wapumbavu.
 
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Chadema haina muda mchafu wa kushindana na majinga ccm.mkimaliza kununua mtaanza kumalizana wenyewe.
 
Utanyooka tu
 
CCM mngetusaidia kitu kimoja. Pangeni tarehe maalum mmalize zoezi la usajili kwa nchi nzima ili tupumzike na haya maigizo yenu.
 
Mbona mbowe kafanya biashara na lowassa hatukuona mapovu
kama sie tumenunua,na nyie si mununue~Uhuru kenyatta
Watanzania tutasimama na chadema mpaka mwisho nyie ccm endeleeni na biashara ya kununua binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…