Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Juzi Dada Mange Aliandika kuwa ni Mpango Lowasa kuwapeleka kuwapeleka baadhi yaWabunge wa upinzani CCM baada ya Mbowe kuanza kumdharau na alimtaja huyu OLE kuwa atahama Muda si Mwingi sasa naona itatokea kweli Dada Mangi huwa hakosei.
 
Upinzani wa kuabudu wazungu ,kupinga maendeleo na kutukana viongozi wetu bora ufe tu.
Unataka upinzani wa kuwalamba makalio ccm? Upinzani wa ndiooooo.hahahaha haipo hiyo mzee wananchi tupo na chadema.
 
Chadema haitakufa milele
 
Chama kinakufa atabaki peke yake. Kuna msemo wazungu husema, if you cant fight ith them...... Join them. Nafikiri cdm ili wakwepe aibu ilombele yao wangeutumia huu msemo
Mngekuwa mnanunua wanachama wa kawaida tungeshtuka lakini kwa hao viongozi waende tu njia nyeupee.
 
Hiyo kodi inayopotea wewe haikuhusu?

Eti Tanzania ya viwanda!!!!
Pole yaani mpaka unatia huruma. Wakati wanatoka ccm kuja cdm mbona hamkusema mnawanunua? Bali mlisema ni mafuriko, sasa ukae ukijua kuwa mafuriko hutokea pindipo mvua yanyesha, na ikikata mafuriko huisha na maji yote hurejea baharini(ccm).
 
Pole yaani mpaka unatia huruma. Wakati wanatoka ccm kuja cdm mbona hamkusema mnawanunua? Bali mlisema ni mafuriko, sasa ukae ukijua kuwa mafuriko hutokea pindipo mvua yanyesha, na ikikata mafuriko huisha na maji yote hurejea baharini(ccm).
We unashangaza kweli!!Wakati wanakuja CHADEMA walikuwa wanajiuzulu nafasi zao na kupelekea nchi kuingia kwenye uchaguzi?
 
Bado tu hajasepa? Au had usiku Wa manane na haraka haraka
 
Mkuu ina maana hakuna sababu nyingine ya hii migration zaidi ya neno "kununuliwa" mbona kama mnajaribu kujificha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…