Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mapadri, mashee, manabii na mitume pia!Nasikia tetesi na Waganga wa jadi nao wameanza kupukutika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapadri, mashee, manabii na mitume pia!Nasikia tetesi na Waganga wa jadi nao wameanza kupukutika
ngoja tuone kama atazikwa usikuHuenda tunaelekea kuficha hadi misiba
Kwani mkuu kuna tatizo mtu kuandika neno ccm? Mbona Kama umeumia sanaSamahani lakini ukweli ni kwamba unastahili kuitwa zezeta. Mambo ya U-ccm yanahusiana vipi na vifo???
Kama huwezi kuomboleza ni bora kupotezea tu.
Aanzie kujifukiza mapemaA
Akitoka akatambike.
Very sad, RIP Richard NdassaMbunge wa Sumve Richard Mganga Ndasa amefariki dunia leo asubuhi jijini dodoma!! Taarifa kamili,itakujaView attachment 1434380
Sent using, Mashikoro Mageni
Makonda has never been good, whatever he touches inakuwa NUKSI ( becomes a curse)!Makonda is good hajamilika ila ni kiongozi mpiganaji kuhusu corona anaweza isipokuwa miongozo aliyopewa saa nyingine inamlazimisha kuongea vitu vinavyoakisi utopolo
Magufuli anawapoteza sana Watanzania wajinga kama huyu. Msomi mzima unaumwa badala ya kwenda hospital unakomaa kujifukiza. Haya sasa pumzika kwa amaniInadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza
Mazingira ya bunge yalivyo, hali yake ya usafi jinsi wenye nacho wanavyojikinga hivi sisi wakina kajamba nani kutwa kwenye daladala tutapona kweli Mungu tuangalie kwa huruma waja wako.Saini za posho za vikao ndizo zilikuwa zinamtoa ufahau na kuchanganana na wenzie!
Ataondoka na wazee wengi mule
Yaani kama kuna kitu kimenichekesha wiki hii basi komenti hii😂😂Ngoja nimtume dogo alete vocha niunge bando la nguvu nifuatilie mtifuane wa hoja
kwahiyo corona imekuja kufanya mapinduzi ya system kimyakimyaInatusaidia kuwaondoa madarakani
Kausha hivyo hivyo tu wengi watakimbilia kujifukiza kumbe ndio wanajifukia bila kujuana bungeni alienda na amekaa mpaka kuanguka mbona amewaambukiza wengii ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzalendo namba moja Mungu yuko nae. Kipindi mlifurahi lakinai malaika wakamlinda.Hapo ndio covid19 itapeek na maambukizo yataanza kushuka
Mungu hawezi kuliangalia Taifa ambalo halichukui hatua stahiki!Mazingira ya bunge yalivyo, hali yake ya usafi jinsi wenye nacho wanavyojikinga hivi sisi wakina kajamba nani kutwa kwenye daladala tutapona kweli Mungu tuangalie kwa huruma waja wako.
Kama ni kweli dah hapa marehemu aliterezaMpendwa wetu ina maanisha alikuwa anajua ana maambukizi ila alichangamana na watu bungeni si salama.