TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Nawasiwasi bungeni, korona imeshawahi siti za vigogo kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ndio huo, ukiangalia thread za nyuma utaona jinsi watu walivyo shauri wabunge wapimwe kama njia ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa.

Hawataki kusikia na sasa Itabidi bunge lote liwe under quarantine kwani marehemu Ndasa ni lazima alichanganyika na wenzie wengi kwenye hiki kikao cha bajeti!
 
Tulisema na kuonya mengi haya sasa, Matokeo yao yale kwani bado?
Magu kahairisha bunge ili uwaache waendelee kama ulivyoshauriwa mapema na
 
Samahani lakini ukweli ni kwamba unastahili kuitwa zezeta. Mambo ya U-ccm yanahusiana vipi na vifo???
Kama huwezi kuomboleza ni bora kupotezea tu.

Hata mimi ningeuliza na nduo.maana mara zote kwa wanaotambua art ya uandishi hutia kwenye bracket kueleza anawakilisha chama gani.

Kama wewe pengine angeandika ni mbunge tu ungetaka kjuwa anawakilisha jimbo gani. Kwa ufupi hii habari imekosa umakini wa uandishi, usimlaumu.
 
Mungu wetu yupo na anajua ameumba viumbe ambao ni dhaifu,wana mapungufu huu sio wakati wa kukata tamaa mpendwa.
Hujanielewa! Soma kwanza hii aya ya quran huenda ukanielewa![emoji116]
1587912369_1587912369-picsay.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom